Sijivunii wazazi wangu

Kichwa cha uzi wako “hujivunii wazazi wako” Ndo washakua wazazi wako ingekua hawakupendi pale ulipozaliwa tu wangekutupa au mimba yako ingetolewa.

Waheshimu baba na mama upate heri na miaka mingi duniani, licha ya mapungufu waliyokua nayo lakini kuja kuanika maisha yao wanayoishi hakutaweza kukupa amani ya moyo zaidi ya kuendelea kuteseka moyoni.

Acha kulalamika na kuona lilikua jukumu la wazazi kukufikisha mahali fulani kimaisha, uko mzima na hauna ulemavu pambana utafanikiwa.
 
Ukiona yanazidi,badilisha no uishi kivyako mkuu,kama ni wazazi wako watakumiss tu.watu hawawezi kukuelewa sababu wanakushauri Kwa kuangalia status zao na wazazi wao.kuna wazazi mi nawajua wako hvyo mtoto hasipompa pesa utamka maneno yote ya laana kama njia ya kuforce.Na mara zote wazazi wa hvyo Huwa si wale waliokuhangaikia
 
Kichwa cha uzi wako “hujivunii wazazi wako” Ndo washakua wazazi wako ingekua hawakupendi pale ulipozaliwa tu wangekutupa au mimba yako ingetolewa.

Waheshimu baba na mama upate heri na miaka mingi duniani, licha ya mapungufu wakitokua nayo lakini kuja kuanika maisha yao wanayoishi hakutaweza kukupa amani ya moyo zaidi ya kuendelea kuteseka moyoni.

Acha kulalamika na kuona lilikua jukumu la wazazi kukufikisha mahali fulani kimaisha, uko mzima na hauna ulemavu pambana utafanikiwa.
Heshima na kutokujivunia ni vitu viwili tofauti, Nawaheshimu kwa kuwa sina jinsi ndo washakuwa ila haiwezi kufanya nikajivunia kwa kuwa sina cha kujivunia.
 
Ukiona yanazidi,badilisha no uishi kivyako mkuu,kama ni wazazi wako watakumiss tu.watu hawawezi kukuelewa sababu wanakushauri Kwa kuangalia status zao na wazazi wao.kuna wazazi mi nawajua wako hvyo mtoto hasipompa pesa utamka maneno yote ya laana kama njia ya kuforce.Na mara zote wazazi wa hvyo Huwa si wale waliokuhangaikia
sure mkuu.
 
5. Wewe ni matokeo ya starehe ya baba na mama yako.
4. Unahasira na vinyongo kwa wazazi wako.
3. Umasikini wa baba na mama yako haukuzuwii wewe kufanikiwa.
2. Usiingilie ugomvi na tofauti iliyopo kati ya baba na mama yako.
1. Dunia haitaki makasiriko, na hakuna aliyewahi kufanikiwa ama kufanya maamuzi sahihi akiwa mwenye hasira.
Mwisho nakushauri tu kwamba usiwalaumu wazazi wako na unapaswa kuwashukuru kwa kufanikiwa kukufukisha walau kidato cha nne.
Wapo wengi walio zaliwa na kutupwa.
Wapo walio lelewa na kutumikishwa.
Wapo walio someshwa hadi darasa la saba pekee.
Lakini wengi walitoboa na leo hawalalamiki tena hawana chuki kwa wazazi wao zaidi ya kumsgukuru Mungu na kuwa nguzo za mofano kwa wazazi wao.
Zingatia namba 3 dogo
 
Watu mnamshambulia mtoa mada lakini mnaweza sema ana haki ya kulaumiwa lkini vaeni viatu vyake tafadhali.

ni hivi me binafsi am proud na wazazi wangu cause walivaa uhusika wao inavotakiwa.

ila kiuhalisia cheo cha uzazi ni beyond kuzaa. ni kulea pia. Wangapi wamechukuliwa na kulelewa na adopting parents . Yaani hakuna uhusiano wa damu lakini mtu anakua anajua kuwa hawa ni wazazi wangu lakini kumbe siyo.

Nimesoma comment ya mamaSamia kaelezea vizuri sana ila watu nimeona wengi mmecomment kwa hisia.

acheni hisia tumieni logic.

Africa tunalelewa kwa uoga sana. Ndio maana hat vipaji vingi vya watoto hupotea hivihivi Ndio maana hatuendelei.

Pia unakuta mzazi anazaa mtoto ili uwe mtaji wa kumtunza yeye. what the https://jamii.app/JFUserGuide!!! Hata Mungu katuumba lakini anatuhudumia milele. analeta mvua nk.

mtoto sio mtaji. kama huwezi kulea vaa condoms.

Wenzetu wanazaa kama wajibu kuendeleza kizazi. mtoto anazaliwa anakuta kawezeshwa akili yako tu ikengeuke ndio atakuja lbda kuwa wa hovyo lakini msingi mzuri wa kimaadili unawafanya asilimia kubwa wanafanikiwa.

Dear future parents. tutafute mafanikio ili watoto wavikute pia uzee wetu usitegemee watoti wetu. Bata hadi uzeeni. ili kwamba mtoto akikukumbuka ni hisani tu sio lazima na yeye alee watoto zakee.

.wazazi wa hovyo mtu haumwi kazi kukaa kwa watoto tu mpaka wanakosa uhuru..

Me binafsi nimemaliza shule nilimuambia mzazi asiwe na any expectations kwangu maana mtaani hakuna ajira ila inshallah nauona mwanga nimepata pa kujishikiza. nikimtumia elfy tano anashukuru na nikimpa 50k anashukuru pia. sasahivi ninajitegemea lakini nikiwatembelea home lakini hata wakiwa hawana kitu huniambia tukupe nini baby? Mahindi ama? au chuma hata mboga.

acheni kuzaa kisa nyege.

NB nimelelewa na wazazi wote na nimekulia kwa ndugu. Hao ndugu sio wa damu na wanamchango mkubwa kwangu wakishirikiana na wazazi wangu.
 
Jamani,tajiri mmoja ajitolee kunioa Mimi single mom,nikimbie matusi ya wanangu huko mbeleni.Daaa ,sikulaumu ni kosa letu kuwaleta duniani ingali hatujakaa vyema kiuchumi😭😭😭😓 aisee
 
Upumbavu ni wa
HESHIMU Baba na mama yako (waliokuzaa) upate kuishi miaka mingi na heri duniani! Mapungufu yao hayabadili ukweli kuwa walikuzaa, bila wao kukutana usingetype huu

Upumbavu ni wa wazazi waliomzaa bila malengo na ninyi mnaounga mkono upumbavu wa hao wazazi wapumbavu.
 
kuna ule msemo

"unazaliwa bira ridhaa yako ila kesho ya maisha yako n ujipambanie mwenyewe"
 
Hao wazazi wako wapuuzi sana wanajua hawajakusomeshaa na huna mbele wala nyuma alafu Wanakutamkia maneno ya laana ukikosa helaa??? Ni matahiraa kabisa haoo pambana usiwatafuteee siku ukipata labda ndo uwe unawatumia chochote itakuwa ndo wale wazazi wasiojitambua. Wamenikwaza sana kukutukana kisa hujapata kitu cha kuwatumia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom