Sijisikii vizuri kabisa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sijisikii vizuri kabisa!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Jul 17, 2011.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Jul 17, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 15,435
  Likes Received: 2,150
  Trophy Points: 280
  Ndugu wana jf yani nimeamka mwili na akili vyote vimekwenda likizo! Yani siku naiona ipo kinyume sijui ni kwanini? Nikicheki waleti imejaa pesa,pombe simtumia,bangi simtiaji, Mademu simtumia lakini ukinipa nakula na nikila utadata....

  Hivi ni kwa nini kunasiku unaamka mwili na akili havitaki ushirikiano?
   
 2. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,248
  Likes Received: 208
  Trophy Points: 160
  mtafute Lizzy, unaweza jisikia vizuri.
   
 3. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #3
  Jul 17, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 15,435
  Likes Received: 2,150
  Trophy Points: 280
  Duh ndugu umegusa kwenye moyo!
   
 4. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,753
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Pole sana
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,133
  Likes Received: 1,454
  Trophy Points: 280
  kazi kweli! inawezekana hujisikii vizuri shauri ya wallet kujaa fedha ilhali kuna ndugu zako na jamaa wanahitaji walau hela ya madaftari wajikomboe na adui ujinga! jaribu 'giving back to the society' uone raha ya kuwa in a good course
   
 6. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #6
  Jul 17, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 15,435
  Likes Received: 2,150
  Trophy Points: 280
  Asante sana ndugu!
   
 7. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #7
  Jul 17, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,316
  Likes Received: 573
  Trophy Points: 280
  nenda kanisani...utapata faraja ukiongea na Muumba wako
   
 8. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #8
  Jul 17, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 15,435
  Likes Received: 2,150
  Trophy Points: 280
  Nakushukuru hakika ushauri wako unanipa faraja!!
   
 9. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,279
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  Hapo juu uliandika hayo.

  <Na hapa umekuja na hili. Je, hayana uhusiano?
   
 10. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ulisoma darasa moja na Tintin?
   
 11. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,983
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  pole, ukimpata mwenye bikira kama ulivyo omba utapona tu.
   
Loading...