Sijawahi kula nyama tamu kama konokono

Kuna mdada mmoja wa Kiitaliano aliwahi niambia kuwa wao kule konokono ni chakula maarufu sana. Ila wanatushangaa Watz kwa kula kumbikumbi.
Btw, ngoja wakushangae na kukucheka. Siku wakisikia kuwa kula konokono kunatibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume au siku wakina mama wakisikia ni dawa ya kumdhibiti mume asitoke nje ya ndoa, na dozi yake ni lazima uwatafune mkubwa mmoja kwa siku saba utaona wanavyofuatilia na kuulizia wanapatikana wapi.
Hahahah mkuu nahisi watanitafuta maana itakuwa nishajua kuwakaanga
 
Nilipokuwa Abuja almanusura nile konokono nikidhania filigisi! Tayari nilishatia hadi pilipili na pembeni kuna vanilla Coke.... Kilichoniokoa ni kugundua kwamba kila chombo kilichokuwa na Chakula eneo lile kilikuwa na lebo ya aina ya Chakula kilichomo...niliposoma kilichoandikwa pale nilipotoa filigisi zangu....dah... Snails!
Hahahahahah Natamani ungekula maana leo ungeniunga mkono
 
220px-Cooked_snails.JPG
 
Habarini wakuu

Maisha ni safari,

katika mihangaiko ya maisha nchi tofauti nimekula wanyama na wadudu ambao kwa jamii za tanzania wengi hawali kama vile
Konokono
Chura wakubwa (ryumi)
Nyoka aina ya chatu
Chui
Kobe
Ngedere (tumbili)
Funza wakubwa (wanakaa kwenye miti) n.k
Hao ni baadhi tu, na nilikula sikulazimishwa ila sikuwa na jinsi, katika nyama zote niwe mkweli konokono nimetokea kumpenda sana, ni nyama tamu haina hata mfupa ukipata yule mwenye mayai duh hutoacha kula nawaambia,

ombi: kama hapa dsm kuna sehem wanauza konokono mnidirect tafadhali.. nataka ile iliyokaangwa

kama na ww ushawai kula vyakula ambavyo watanzania wengi wanaona uchafu vitaje, tufahamiane

Tembea ujionee Dunia inamengi vingine havisimuliki
Nikimuangalia konokono jinsi alivyo huwa nahisi nyama yake ni tam kama ya firigisi bila shaka
 
Habarini wakuu

Maisha ni safari,

katika mihangaiko ya maisha nchi tofauti nimekula wanyama na wadudu ambao kwa jamii za tanzania wengi hawali kama vile
Konokono
Chura wakubwa (ryumi)
Nyoka aina ya chatu
Chui
Kobe
Ngedere (tumbili)
Funza wakubwa (wanakaa kwenye miti) n.k
Hao ni baadhi tu, na nilikula sikulazimishwa ila sikuwa na jinsi, katika nyama zote niwe mkweli konokono nimetokea kumpenda sana, ni nyama tamu haina hata mfupa ukipata yule mwenye mayai duh hutoacha kula nawaambia,

ombi: kama hapa dsm kuna sehem wanauza konokono mnidirect tafadhali.. nataka ile iliyokaangwa

kama na ww ushawai kula vyakula ambavyo watanzania wengi wanaona uchafu vitaje, tufahamiane

Tembea ujionee Dunia inamengi vingine havisimuliki
Mkuu nifundishe wanavyopiga
 
HOTEL ZA KICHINA UTAPA!!
 
Nini konokono watu tunakula mavii aka kichuri

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nifundishe wanavyopiga
Nilichokishuhudia wanachukua konokono wanawachemsha, wakishatokota kuna vijiti special kwa ajili ya kutolea konokono kwa nyumba zao, kwa sababu washatokota hivyo wanachomoka tu, then wanawapaka chumvi kisha wanawakaanga nataka nijaribu nitakukaribisha mkuu

sizonjemadawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom