macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 28,345
- 57,247
Hauwezi kuishia hapo. Unasema uko majuu halafu unawaza kijima namna hii ndugu. Hakuna aliyezaliwa anajua kuandika ila kila mtu anajifunza na hakuna limit.Ni vizuri lakin nais kila mtu ana uwezo wake wa kuandika yawezekana wa kwangu umeishia hapo mkuu.
