Sijawai kujutia kuishi ughaibuni!!!!!

Sijawai kujutia kuishi ughaibuni!!!!!

Ok,nimekuelewa vizur mkuu,
Hakuna mtanzania anaefanya kazi NASA.
Na hiyo sio kwamba najitangaza hapana,mbali tunapeana uzoefu,kuelimisha,hata na wewe unaweza kuzugumzia manufaa ya elimu yako hapa,uzoefu wa maisha yako hapa,ili mradi tuelimishana,.
Kuna watu wanaelezea namna walivyofanyikiwa,haimaanisha kwamba mtu yule anajitangaza hapana...
Unaweza kujifunza kutoka kwangu na kwa mwingine.
Na ni vizuri unapoona jambo njema wasambazie na wenzio
Unasema hakuna mtanzania anafanya kazi nasa

Unajielewa ?
 
Hakikisha kwenda kwako huko unawavuta wanandugu,na marafiki wenye vision,nao wapambane na fursa.
Hayo mengine porojo
Nimekuelewa mkuu.

Ila saivi tunafanya hvyo bado tuko hatua ya kutafuta mashirika ya kutupa support na nina amini tutafanikiwa
 
Subiri kwanza. Umeanza mapema sana.
Si tatizo mkuu.
Watu wapo kwenye biashara miaka mingi lakni wamekosa mafanikio,lakin watu wa majuzi wanpata mafsnikio,akili,mbinu, nk.... n vitu vya kuangalia sio muda
 
Unataka nikujibu nini mkuu
Usijibu chochote ndugu yangu ila ni vizuri ukajifundisha namna ya kuandika maneno basic ya kiswahili. Unajua maandishi aliyoandika mtu yanaelezea mengi kumhusu! Watu wengine wakikutana na uandishi wa ''ngumbaru'' sentensi za mwanzoni huwa hawana muda wa kuendelea au hawaipi story uzito unaotakiwa!
 
Usijibu chochote ndugu yangu ila ni vizuri ukajifundisha namna ya kuandika maneno basic ya kiswahili. Unajua maandishi aliyoandika mtu yanaelezea mengi kumhusu! Watu wengine wakikutana na uandishi wa ''ngumbaru'' sentensi za mwanzoni huwa hawana muda wa kuendelea au hawaipi story uzito unaotakiwa!
Ni vizuri lakin nais kila mtu ana uwezo wake wa kuandika yawezekana wa kwangu umeishia hapo mkuu.
 
Kuna classmate wangu alikwenda Marekani kusoma PhD mwaka 1980; akamaliza masomo na kubakia huko akifanya kazi NASA. Mambo yamemunyookea barabara. Hatumsikii akitangaza kwamba maisha huko ni hivi na hivi kama unavyofanya wewe ambaye umeishi huko hata miaka miwili haijafika. Unachotaka ni kwamba tukuonee wivu kwamba unaishi kwenye raha wakati sisi huku tuko taabuni. Mtu akifanya ufanyavyo ujue hapo hakuna lo lote. Ndiyo maana unakumbuka nyumbani lakini kwa kuona haya unajibaraguza kusimulia ndoto unazoziota. Mwenye raha kama classmate wangu wala hana muda wa kuanza kuelezea maisha yake huko. Aeleze ili iweje?
Mzee kama umesoma mwaka 1980 kwa sasa inabidi umskilizie tu sir god na kuachana na mitandao
 
Back
Top Bottom