Sijawai kujutia kuishi ughaibuni!!!!!

Sijawai kujutia kuishi ughaibuni!!!!!

Bullshit

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,366
Reaction score
1,638
Ni kweli mimi uwa niko tofauti kabisa na mitazamo ya watu wengine juu ya nchi za wenzetu,.huwa nina amini ughaibuni ni sehemu ya utafutaji pia hasa ni sehemu ya kujifunza vitu vingi....
Husipofanikiwa maisha au kujifunza basi jua wewe hata kwenya nchi yako ulikuwa mzigo.

Na ninapiga kelele na kusisitiza kuwa kuna faida za kuishi ughaibuni.

miezi 20 nchini MAREKANI kuna vitu vingi vya kujivunia na kujifunza
Nimepata kujifunza,.
UTAMADUNI nilipenda sana kujua utamaduni wa hapa na umenisaidia sana kuniweka tofauti na dhamani.wamerekani nyuso zao ujaa tabasamu na kumjali mwingne kabla yake,mfano: usishangae unaenda kufanya interview ya kazi boss wako anakufungulia mlango na kuhushikilia ili uingie kwanza,hata daktari na ofisi zingine.
,kusema asante,msamahani,ni maneno wanyatumia sana kuliko salamu.uwa nafarijika sana na hali hii na nilijitaidi na mimi kubadilika.

LUGHA:kingereza ni lugha ya kimataifa,faida ya kujua lugha hii inanisaidia kufamiana na kufanya mawasiliano na watu mbali mbali katika harakati zangu za kila siku,.

TABIA:nchi hii ina watu wa duniani kote na huwa sioni tabu kuwasogelea na kufamiana ili nijufunze mawili kutoka kwako,hali hii imenipa uwezo wa kutambua watu wa nchi fulani wana tabia fulani

FIKRA:Marekanu ni nchi ambayo imeendelea,na watu wake upenda kuishi maisha ya kujitegemea,kwaiyo ukiishi nao wanakuw wanakupa mbinu za kujitegemea,wanapenda kuhuliza,kujituma,kujitegemea,mcheshi,hawezi kukucheka au kukudharau unapokosea,wanamjali mtu,hali hii imenisaidia sana na mimi kuwa na moyo wa kusaidia,kujituma,na kufanya mambo kwa wakati na kwa kuzingatia muda nk....

CONNECTION:ninakutana na watu mbali mbali na kubadilishana mawazo,tuna buni mbinu za maisha ya baadae,nafamiana na watu wenye mawazo tofauti naya kwangu kwaiyo,najifunza mengi toka kwao,tofauti kabisa na africa nilizoea kukutana na watu wale wale.

KAZI:ndani ya miezi ishirini nimefanikiwa kufanya kazi mbili tofoauti na moja hisio itaji ujuzi,kazi yangu imenisaidia kupata elimu na kujifunza mambo mbali mbali,.saivi ninauzoefu wa kazi mbili ambapo africa ningetakiwa kwnda shule kwanza.

ELIMU,:nikitaka kwenda shule uwa siwaz pesa nitapata wapi,katika kufamiana kwangu na watu mbali mbali nilifanikiwa kuonganishwa na taasisi zinazowapa watu elimu bure,na kuna zingine zinakudhamini ada,kuna zingine zinakuchukua na kukupeleka shule kila kitu cha kwao,hurudishi hata mia.

NB:Mimi vitu hivyo uwa vinanifanya nijivunie kuwepo hapa na vimenibadlisha na kunijengea maisha ya tofauti sana kiasi nikirudi nilikotoka lazima ukubali nimeishi na watu mbali mbali na wenye kujitambua hata kama sijakuambia niliko toka
 
Da mazee, miezi ishirini Marekani unaona dili sasa sisi tulioishi toka kipindi cha Clinton tuseme nini?
Kuishi sana s sababu ndugu,kuna rafiki zangu wengi wapo hapa marekani zaidi ya miaka kumi na tano wengine kumi na wengine 6,lakini hawana network yeyote hawana cha kujivunia,akili na fikra zao bado wana waza yale yale,wengine pia hawajaelimika na hawana elimu yyte licha ya elimu ya hapa kuwa raisi kupatikana.
Najivunia coz nimetengeneza network kubwa kuliko walionitangulia na mambo yangu yamenyooka kuliko ya kwako,nina fahamu mengi kuhusu nchi hii kuliko wengn walionitangulia.mpaka uwa wananitania eti natumia hiridhi
 
Unachekesha sana wewe, eti umetengeneza network...unavyobabaika na plastic smile inaonesha ulivyo naive...have you started laying up with Becky? You must be one of those, be careful ma nigga.
 
Unachekesha sana wewe, eti umetengeneza network...unavyobabaika na pastic smile inaonekana ulivyo naive...have you started laying up with Becky? Be careful.
Kubabaika hiyo lugha nimetoka wapi,.
Ila mm najisikia furaha kushare upendo na watu wengne na wamarekani wanaamini kwamba tabasamu ni kitu cha kwanza kwao,ni ishara ya upendo,ishara ya kujiamini,ishara ya kuwa uko tayari kuzugumza na mtu,....mtu anapokuonyesha tabasabu utajisikia kujiamini,anakuondolea uoga,kwaiyo ni kitu cha kujifunze.
 
Mimi sijakataa nasema haya kiroho safi kabisa, lazima ujifunze kitu kinaitwa "checking someone out" la sivyo utajikuta unachekea watu kesho na kesho kutwa unaokotwa chini ya daraja.
 
Mimi sijakataa nasema haya kiroho safi kabisa, lazima ujifunze kitu kinaitwa "checking someone" la sivyo utajikuta unachekea watu kesho na kesho kutwa unaokotwa chini ya daraja.
Kucheka no...kuna wakat unaweza kutoa ishara ya tabasamu,na sio kila sehemu au njia nzma ww ni kufanya hvyo,naweza kufanya hivyo ofisini kwngu,au katika maongez ili nikupe ww ujasiri wa kuongea na mimi na ujisikie mwenye furaha lazima nifanye hvyo.
 
Haina noma, wishing you the best.
 
mkuu nategea kufika huko japo nilipataga channel nyingi kipindi cha nyuma nikazilia maandazi hv ndio naona umuhimu wake, tupe mbinu za kuingia huko.
Mko vizuri nmewapa ongera
 
Back
Top Bottom