Sijawahi yaelewa mapenzi mpaka sasa

Sijawahi yaelewa mapenzi mpaka sasa

Nakwama wapi mkuu au sababu ni kuwa sina mda wa kutulia nyumban ...maana katika mwez naweza kaa siku 9 au pungufu
Unaona sasa?? Hiyo step ya kwanza ya kulitatua tatizo. Ukishalijua maana yake 50% ushalitatua.

Inabidi shem apate lecture mkuu
 
Ata usiyaelewe mkuu wanawake wanaitaji vitu vingi zaidi ya pesa ili uyaelewe mapenzi bc jipende mwenyewe wao wawe kipoozeo tu ukipata anayekupenda zaidi kuwa naye ukimpenda mtu kuliko unavyojipenda jiandae kutoa usaha au kamasi. Jali furaha yako kwanza
 
Njoo mkoa toka Dar...

Nikupe toto la kigogo
 
Pesa sio kila kitu katika mahusiano ziwepo lakin zisirun kila kitu...Money can not buy love.
 
Back
Top Bottom