Sijawahi yaelewa mapenzi mpaka sasa

Sijawahi yaelewa mapenzi mpaka sasa

Kwanza nisiwachoshe saaana....Kuna wakati niliwahi ambiwa pesa ndio kila kitu nikaamini labda nikiwa na pesa ntafaidi mema ya dunia kupitia mapenzi lakini sijawahi yaelewa kiufupi...kama pesa nnazo lakin sijawahi kuwa na amani kwenye mahusiano yangu..hata sijui nakwama wapi?
Za kuambiwa changanya na zako mkuu, utayaelewa tu.
 
Tembea na akili hii....tafuta demu gonga ukiwa na nye.ege tu
Kwanza nisiwachoshe saaana....Kuna wakati niliwahi ambiwa pesa ndio kila kitu nikaamini labda nikiwa na pesa ntafaidi mema ya dunia kupitia mapenzi lakini sijawahi yaelewa kiufupi...kama pesa nnazo lakin sijawahi kuwa na amani kwenye mahusiano yangu..hata sijui nakwama wapi?
 
Kwanza nisiwachoshe saaana....Kuna wakati niliwahi ambiwa pesa ndio kila kitu nikaamini labda nikiwa na pesa ntafaidi mema ya dunia kupitia mapenzi lakini sijawahi yaelewa kiufupi...kama pesa nnazo lakin sijawahi kuwa na amani kwenye mahusiano yangu..hata sijui nakwama wapi?
haupo peke yako
ila endelea tu kutafuta pesa
 
Nadhani ulielewa vibaya
Ni hivi ukiwa na pesa kila demu mkali utakuwa nae na utatafuna wengi

Ila mapenzi ya kweli uwezi nunua mkuu huoni maskini wameoa na hawana pesa

Ila Mimi na prefer paragraph ya hapo juu [emoji115] kabisa mwanzo sina muda na mapenzi ya kweli nakukatia chako ukiitaji basi. Ukinipenda hiyo shauri yako imekula kwako
 
Umeathirika na punyeto koo huwezi enjoy mapenzi kwa sababu una upungufu wa nguvu za kiume

Mi dawa sina usini Pm tafadhali
 
Oooh kumbe pesa ipo, njoo nikupende hadi ushangae.
 
Back
Top Bottom