sijawahi kuzidisha mzunguko mmoja wakati wa kufanya tendo la ndoa

Hiyo kwenda 50 minutes ni bomba sana wanawake wengi wanapenda mtu anayeweza kwenda masafa marefu hasa kama unahakikisha na yeye anaenjoy tendo hilo. Hilo la kutoweza kuingia uwanjani tena kwa kipindi cha pili jaribuni kuchezeana na mke wako baada ya kupumzika mpe uhuru wa kuhangaika na jogoo lako mpaka liwike tena hapo uanendelea na mchezo, lakini inabidi uhakikishe na yeye siyo mkavu maana kipindi cha pili unaweza kwenda mpaka dakika themanini hapo itakuwa ni kiama kwake maana anaweza kuchubuka sana na wewe pia unaweza kuchubuka. Jaribu kutafuta jelly inayoitwa KY hiyo inasaidia sana kupunguza uwezekano wa kuchubuka. Huihitaji kabisa viagra.
 
Kwanza ni vema kukaa muda fulani ktk hako kamchezo ili kwenda sambamba na mwezako nae apate fikia kilele.

Ila kukaa sana kwa kiasi chako inabidi tukuulize pia kuwa akili yako yote inakuwa hako kamchezo au unakuwa hauko relax vya kutosha.Kwa maana huo muda unaweza kuwa sana kwa bao la pili na kuendelea si la kwanza,hii naongelea kwa majority.Pia mwenzi wako anatakiwe afanye ambacho kitakufanya usahau tabu zako zate dumiani na ujue raha ni hii tu duniani,kwa kweli hili ni jukumu lake 75%,yeye ndio anaweza kutoa utatuzi wa hili.Kwa mbwebwe zake ,karufundi kake na siri zote za makungwi hutuakiwi kisimama dakika zote hizo.

Just to be curious,una rank vipi kiwango cha mwenzi wako.Do have enough foreplay kabla ya mechezo kamili na je unamtamani mwezi wako.May be baada ya hivi feedback tutapata black and white.
 
ukweli ni kwamba, hakuna mwanamke atakuwa ana-enjoy muda wa dk 50, yaani hata kama.... bwana we!

Shishi katika dakika hizo 50 au themanini wakati jogoo liko ndani unatakiwa ufanye na mavitu mengine ati siyo nonino tu huo utakuwa ni uselfish :(!!!! mnachezeana, mnanyonyana na kuambiana maneno ya kimapenzi na wakati huo huo jamaa anapiga slow motion na kuongeza speed kila anapoona kuna umuhimu wa kufanya hivyo. Ukimpata njemba ambaye ni considerate utaenjoy hata zikiwa dakika 100. Ukitoka hapo unalala usingizi mnono :)
 
...'Calories burned' kwa Saa moja kasoro dakika kumi kufunga Bao moja linakutosha ndugu yangu, ujenzi wa taifa pia unakusubiri wewe![/COLOR]

hapa hamna hata haja ya gym LOL, yaani 50 mins , sijui kama anatumia stopwatch ama??? duh!!




Hivi avocado inaitwa parachichi??? haya shule hapa...
huyu jamaa anataka referee kabisa.......[/QUOTE]


Ndiyo. Avocado ni parachichi mkuu.
 
...shishi, wapo! 'nazi haikuniki uikunapo upande mmoja' lazima uigeuze geuze mpaka yote ikunike!' ...na ukunaji mzuri shurti kwa muda!


Maneno hayo!... kukuna nazi kwahitaji nafasi shishi.Lakini jamani wote mwaweza kuzimia.Asikwambie mtu zoezi lile ni gumu mno.Siye tuliooa huwa wakati mwingine tunatamani kusafiri.Dk 50 non stop... i would ask for anything but not 5o minutes kukuna nazi.

Mwe!
 
hii si mchezo, dakika 50, hongera jamaa una mazoezi makali na nguvu za kutosha, vipi lakini huwa ni non stop au unapata japo juice baada ya muda, ni kweli watu wengi hutafuta madawa ya kujiweka sawa angalau wamalize dk 10 ila kwa dk 50 ni too much, nampa pole huyo mdada kwakweli nahisi anaishia kuwa na michubuko, ni kweli wanawake hupenda long mechi ila hii imezidi, na inaweza kuwa ni kero kwa mwenzi wako angalia asije fikiria tu kutafuta pahala pakufurahia maana nahisi huwa analia kwa hicho kibano,
ushauri wangu kwa hili ndugu, ninahofu haya yafuatayo, kwanza je ni kweli akili yako huwa katika hicho unachokifanya kama alivyotoa maoni mmoja wa wachangiaji hapa, nadhani kwa uelewa wangu mdogo hili ni suala la kisaikolojia au utendaji mdogo au maandalizi mabaya.
ningependa kukushauri haya yafuatayo.
kwanza, maandalizi - kiakili, kimwili na michezo ya mwanzo kabla ya kuanza pirika halisi, long romance zinasaidia kufanya real play kuwa fupi na yenye furaha kwa kila mmoja
pili, ufundi wa uwanjani ni muhimu sana kusaidia kupeleka mchezo uwe na ladha na hivyo kusaidia kumaliza na kutosheka wote wawili kwa muda mfupi, hivyo inabidi uzingatie ufundi wako na wa mwenzio na kama pana upungufu utafute jinsi ya kkupresent kwa mwenzio ili ajue kuwa participation yake ni ya muhimu sana kwako, nadhani hizo dk 50 kwa mwanamke wa pwani anayejua mizungu zaweza pungua zikawa 5-10 mchezo umeisha!!! hahahahaaaa ila ukweli si wa pwani peke yao hata uliyenaye mpe nafasi ya kujifunza na wewe uwe ni mwalimu wake!!
tatu na wasiwasi unaweza kuwa huwa haupo katika uwanja kimawazo hivyo zitume hisia zako hapo,
hayo ni maoni yangu, ukweli wa mazingira unao wewe pengine yote hayana tatizo ila ni maumbile yako, natumaini hapa utapata wataalam
 
hapa inawezekana hata mabinti unaowapata hawajui kukufanya ujojoe haraka mkuu hebu fanya hata majaribio ya kumwambia mkeo naye afanye jitihada anzazoweza kukufanya ujojoe haraka mana utakapo anza tumia ma pills mwishoe hata dakika zako zita anza pungua ambapo ndo itakua balaaa kabisaaa!!!
 
pia hili laweza kuwa tatizo, hivi maumbile yenu yanafanana? aisije mkeo akawa ni mpana kuliko wewe ukawa husuguki vizuri? hii pia yaweza kuwa tatizo.
 
pia hili laweza kuwa tatizo, hivi maumbile yenu yanafanana? aisije mkeo akawa ni mpana kuliko wewe ukawa husuguki vizuri? hii pia yaweza kuwa tatizo.

Inawezekana but this is funy tehe tehe tehe.
Tatizo jingine huyu bwana inabidi ajibu maswali yetu tupate feedback au ni mzaha huu.!?
 
Nyie dakika 50 mnaona nyingi? mnacheza eeh? kwani mkiwa Old Traford mnachezaje? lazima kucheza na mashabiki unaangalia wanafurahia nini kama kupiga vyanzu,vyobo au pasi fupi basi unakokota gozi...

Alafu vile vile unaangalia utumie mfumo upi ambao unaweza kumiliki mpira dakika zote 5-3-2 au 4-4-2 au unaweza kulinda lango(huu wa mwenzetu) kwa dakika 50 mwishoni unafunga bao counter attack(linapendeza sana hili)
 
mimi jamani nimeoa, lakini toka nianze kujihusisha na mapenzi hata kabla sijaoa, sijawahi kupata bao la pili, bao la kwanza lenyewe huwa linachukua karibia dakika 50. nikianza kufanya mapenzi hadi mke wangu anasema amechoka na mimi nakaza misuli na kukojoa, lakini nikishakojoa tu, ndo sipati lingine hadi kesho au keshokutwa. hivi ni kawaida? na kwenda hadi dakika 50 ni kawaida? huwa natamani niende walau bao la pili lakini mwanamke huwa anakuwa ameshamaliza hamu kabisa, na mimi nikikojoa tu, yaani sina hamu nyingine. nifanyeje? kuna dawa? kama zipo, zinauzwa wapi?


Huyu bwana kutumia misuli ni dhahiri kwamba hapati satisfaction inayostahili na kwa kweli anahitaji msaada.

Unaposema "hata kabla sijaoa", je alikuwa ni mwanamke tofauti?

Umewahi kuangalia porno movies ngapi? Did you like watching?


Just to be curious,una rank vipi kiwango cha mwenzi wako.Do have enough foreplay kabla ya mechezo kamili na je unamtamani mwezi wako? May be baada ya hivi feedback tutapata black and white.


ushauri wangu kwa hili ndugu, ninahofu haya yafuatayo, kwanza je ni kweli akili yako huwa katika hicho unachokifanya kama alivyotoa maoni mmoja wa wachangiaji hapa, nadhani kwa uelewa wangu mdogo hili ni suala la kisaikolojia au utendaji mdogo au maandalizi mabaya.
ningependa kukushauri haya yafuatayo.
kwanza, maandalizi - kiakili, kimwili na michezo ya mwanzo kabla ya kuanza pirika halisi, long romance zinasaidia kufanya real play kuwa fupi na yenye furaha kwa kila mmoja
pili, ufundi wa uwanjani ni muhimu sana kusaidia kupeleka mchezo uwe na ladha na hivyo kusaidia kumaliza na kutosheka wote wawili kwa muda mfupi, hivyo inabidi uzingatie ufundi wako na wa mwenzio na kama pana upungufu utafute jinsi ya kkupresent kwa mwenzio ili ajue kuwa participation yake ni ya muhimu sana kwako, nadhani hizo dk 50 kwa mwanamke wa pwani anayejua mizungu zaweza pungua zikawa 5-10 mchezo umeisha!!! hahahahaaaa ila ukweli si wa pwani peke yao hata uliyenaye mpe nafasi ya kujifunza na wewe uwe ni mwalimu wake!!
tatu na wasiwasi unaweza kuwa huwa haupo katika uwanja kimawazo hivyo zitume hisia zako hapo,
hayo ni maoni yangu, ukweli wa mazingira unao wewe pengine yote hayana tatizo ila ni maumbile yako, natumaini hapa utapata wataalam


Kiungo muhimu kuliko vingine kwenye kungonoana ni ubongo. Inapotokea wewe unahitaji msaada wa misuli ku-ejaculate - you are not doing it the ordinary way. I doubt if you do reach climax.

I've once been in a similar situation Ubungoubungo, I will share with you my experience ukitoa ushirikiano kujibu maswali ya wachangiaji.




.
 
Mkuu Ubungoubungo, mimi sikuelewi kabisa, manake kama umemaliza hizo dakika fifte, na ngoma ime fleti basi the only reason ya kukufanya utake kuendelea ni kama demu bado hajamaliza. Sasa kama demu tayari katweta, na wewe umesha troti for 50 damn minutes, na nondo imesha fleti, sijui unakuwaje bado una hamu ya kuendelea

Lakini kama ni udadisi tu wa kujua mara ya pili inakuwaje, hapo una pointi, kwa sababu mwanangu I ain’t gon lie to you, cha pili huwa hakiongopi! Kigoli kina lasti. Kama hujawahi experience hiyo shughli multiple times basi kama ushasikia wanasema mwanamke ambae hajawahi kufikia climax sasa wewe unaweza kuwa ni male version of that. Sijui sasa hapo utafanyaje mwanangu, but I’ll tell you this much, you don't need no pills. You gon die!
 
Mbeba Maono Kwa Comment Yako Ya Ubana Wa Maumbile Ya Mwanamke Napenda Ku-doubt Utaalam Wa Mtoa Hoja Katika Suala Zima La Kutafuta Kona Zenye Msuguano Wakati Wa Kufanya Tenda.
 
Inawezekana but this is funy tehe tehe tehe.
Tatizo jingine huyu bwana inabidi ajibu maswali yetu tupate feedback au ni mzaha huu.!?

We ulidhani nini kama si mzaha? Binadamu gani ana uwezo wa kwenda dakika 50?!? Labda anazungumzi mambo mengine na sio haka kamchezo kanakotumaliza
 
Dawa za tatizo hili zinaitwaje?na pia tatizo alilosema mara ya kwanza.Kwa kuwa umesema ni cream.ingekuwa vyema ungesema na jina lake ili umsaidie.tusitoe clue but exatly answers.

Dawa ya kuchelewesha inaitwa Delay spray/cream,ya kuwahisha inaitwa Sensitising spray/cream,zote ni za kupaka kwenye mlingoti
 
Dawa ya kuchelewesha inaitwa Delay spray/cream,ya kuwahisha inaitwa Sensitising spray/cream,zote ni za kupaka kwenye mlingoti


What if this cream causes the same effect to the woman?
The two of you will turn into sex maniac.



.
 
NIMESOMA TATIZO LAKO NA NIMEKUELEWA NA JAPO SIJAOA LAKINI NIMEGUSWA NA TATIZO LAKO KAMA VILE NI LANGU POLE SANA NDUGU.JAPO SIJAOA LAKINI NINA MPENZI NINAYEMPENDA SANA NA NIWE MKWELI NIMESHAFANYA NAYE MAPENZI MARA KIBAO NA KWA SASA NIPO KATIKA MPANGO WA KUMUOA AWE MAMA WATOTO WANGU.KWA KIFUPI SIJAWAHI KUKUTANA NA TATIZO KAMA LAKO WAKATI WA KUFANYA TENDO LA NDOA NA MPENZI WANGU.

NAONA NIKUSAIDIE KAMA MWANAMME MWENZAKO,
KWANZA KUHUSU DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA VIAGRA NAOMBA USIJARIBU KWANI ILE NI KITU KIGENI NDANI YA MWILI NA KICHOCHEO AMBACHO SIO CHA ASILI HIVYO UWEZEKANO WA KUUA HATA HICHO KICHOCHEO ULICHONACHO NI MKUBWA.HICHO NI KILEVI KAMA KILEVI KINGINE NA KWA KAWAIDA KWA MTU AMBAYE ILI AFANYE KITU NI MPAKA APATE KILEVI BASI NAWE UKIANZA KUTUMIA NDIO UUME WAKO UTASIMAMA KAMA MSUMARI LAKINI KUNA ATHARI ZAKE AMBAZO NI UUME KUSHINDWA KUSIMAMA MPAKA UTAKAPOTUMIA HIYO DAWA KWANI ITAKUADICT.NA PIA KISAIKOLOJIA UTAJENGEKA KUWA MPAKA UTUMIE DAWA HIYO NDIO MZEE AFANYE KAZI.VILE VILE UUME IMEUNDWA NA MISULI/MUSCLES AU KITAALAM TISSUES.NA KAMA UJULIKANAVYO NI KWAMBA MISULI IKIBEBESHWA MZIGO AMBAO SIO SAIZI YAKE HUWA HUCHOKA SANA NA KUWA DHOOFU.KUTUMIA VIAGRA NI KAMA KUITWISHA UUME WAKO MZIGO AMBAO SIO SAIZI YAKE KWANI INAKUWA IMESIMAMA MUDA MREFU NA UNAWEZA KUPIGA MABAO MPAKA YAKAISHA UKAANZA KUKOJOA HEWA WAKATI BADO UUME UMESIMAMA.UNAWEZA KUONA NI JINSI GANI UTAKUWA UMEJISABABISHIA ATHARI KUBWA.TAFADHALI WASIKUSHAURI WENGINE VIBAYA UKAJA UKAJUTIA.

KWA UJUZI NILIONAO NI KWAMBA TATIZO LAKO UNAWEZA KULITATUA WEWE MWENYEWE KAMA WEWE BILA KUTUMIA NGUVU NYINGINE AMBAZO SI ZA ASILI.KWANZA INAWEZEKANA KUWA HUWA UNAFANYA MAPENZI WAKATI HUWA UMECHOKA.KWA TAARIFA YAKO MAPENZI NI AKILI WALA SI UUME KUSIMAMA.KAMA AKILI INAKUWA IMECHOKA AU UNAKUWA UNA MAWAZO MENGI YANAYOSUMBUA AKILI YAKO WAKATI UNAPOKUWA UNAFANYA TENDO LA NDOA NA MWENZI WAKO NI DHAHIRI KUWA UTACHUKUWA MUDA MREFU KUPIGA BAO KWANI AKILI INAKUWA HAIJAANDALIWA KUWA KATIKA MAZINGIRA YA KUFANYA MAPENZI.KAMA UNA TATIZO HILI TAFADHALI NIJULISHE ALAFU NAWEZA KUKUPA NAMNA AMBAZO UNAWEZA KULIMALIZA.

HIVYO UNAPOKUWA UNAFANYA TENDO HILO HAKIKISHA UKO FRESH KIAKILI NA HATA KIMWILI YAANI USIWE MTU ALIYECHOKACHOKA HIVI KWANI UCHOVU WA AKILI NA KIMWILI NA HATA WA KIROHO KWANI KAMA UNA JAMBO LINAKUSUMBUA ROHONI PIA HUWA KIKWAZO.

NAOMBA NIKUULIZE SWALI MOJA LA KIZUSHI KAKA,JE KABLA HUJAOA ULISHAWAHI KUFANYA TENDO LA NDOA NA HUYO MKEO AU NA MPENZI MWINGINE YEYOTE?NA KAMA JIBU NI NDIO JE ULIKUWA UNAPATA TATIZO AMBALO UNALIPATA?KAMA JIBU NI SIO ULIKUWA UNAJIZUIA VIPI KUTOFANYA MAPENZI KABLA YA NDOA? NAOMBA UNIJIBU KWA USAHIHI NA BILA UOGA KWANI HILI LAWEZA KUWA MOJA YA DAWA YA TATIZO LAKO.

KWA UPANDE MWINGINE PIA TATIZO LAKO LAWEZA KUWA LINACHANGIWA NA LISHE.NINAVYOSEMA HIVI SIMAANISHI KWAMBA HULI VIZURI LA HASHA ILA KUNA VYAKULA AMBAVYO WENGI HAWATAMBUI KUWA UKIVITUMIA HUONGEZA NGUVU ZA KIUME NA HATA UWEZO WA KUPIGA MABAO HUWA MKUBWA NA WA KURIDHISHA SANA.KAKA MIMI NI MDOGO LAKINI NISIKUFICHE KITU NILISHAWAHI KUKAKAA MUDA MREFU BILA KUTUMIA VYAKULA HIVYO NA UWEZO WANGU WA KUPIGA MABAO UKASHUKA NA HATA UPIGAJI WENYEWE ULICHUKUA MUDA HADI WAKATI MWINGINE UUME UKAWA UNALALA YAANI UNACHOKA HATA KABLA SIJAPIGA BAO.LAKINI MARA NILIPOANZA TENA KUTUMIA VYAKULA HIVYO NIKARUDI KAMA MWANZO NA NILIWEZA KUPIGA MABAO MANNE YA UHAKIKA NA MPENZI WANGU AKAKIRI KWAMBA AMERIDHIKA KWA ASILIMIA MIA NA AKANISIFIA KUWA NIKO STRONG SANA KATIKA MECHI.

KWA KUKUSAIDIA NI KWAMBA BAADHI YA VYAKULA HIVYO NI KAM VILE MAZIWA YA NGOMBE YAANI MAZIWA YA ASILI FRESH WALAU UPATE GLASI MOJA ASUBUHI NA JIONI,ASALI PIA NI NZURI UPATE YA ASILI KAMA ILE ITOKAYO TABORA MTUME MTU ANAYESAFIRI HUKO AKULETEE HIZI ZA HAPA TOWN NI FEKI.UWE UNAPAKA KWENYE MKATE AU UNAKOROGEA KWENYE MAZIWA BADALA YA SUKARI.PIA KUTAFUNA MUHOGO MBICHI,KARANGA MBICHI NAZI NA HATA MAYAI PAMOJA NA VYAKULA VYOTE VYENYE MADINI YA PROTINI KWANI MANII AU SHAHAWA/NYEGE NI PROTINI NA HUTENGEZWA KWA CONTENT ZA PROTINI.HIVYO KULA VYAKULA VYA PROTINI KWA WINGI HASA VYA ASILI ITAKUSAIDIA SANA ACHANA NA ZILE ARTIFIALS ZA SUPER MARKET HAZINA MAANA.HIVI NIKUULIZE KITU,JE UNGEPEWA NAFASI YA KUOA MKE MWINGINE UNGEKUBALI?NAOMBA UNIJIBU PIA SWAHI HILI NA SIKUULIZI KWA KEJELI ILA KWA KUKUSAIDIA NA KUTAKA KUKUONESHA UMUHIMU WA VYAKULA VYA ASILI KATIKA TENDO LA NDOA KWANI WAZEE WETU ZAMANI WALIKUWA WANA UWEZO WA KUWA NA WAKE ZAIDI YA MMOJA NA WAKAWAHUDUMIA KIKAMILIFU KIUNYUMBA NA SABABU KUBWA HAPA NI KWAMBA TU WAO WALIKUWA WANATUMIA SANA VYAKULA VYA ASILI AMBAVYO HII LEO KIJANA WA KITANZANIA NA YEYOTE ULIMWENGUNI ANAVIDHARAU NA KUONA VIMEPITWA NA WAKATI NA HATA VINGINE KUPIGWA VITA,NASEMA VINAPIGWA VITA KWANI KUNA KUNDI LA WATU LIMEIBUKA NA KUSEMA MATUMIZI YA NAZI SI MAZURI KWANI INASABABISHA PRESHA.NAWAONA HAWA KAMA WAMEWEHUKA.JARIBU KUTUMIA VYAKULA HIVI ALAFU UTAONA MATOKEO YAKE.

PIA JITAHIDI UWE UNAFANYA MAZOEZI YA VIUNGO KULINGANA NA USHAURI WA DAKTARI WAKO KWAMBA NI MAZOEZI GANI YANAKUFAA.LAKINI HATA JOGING YAANI KUFANYA RIADHA JAPO YA KILOMETER MBILI TATU HIVI KILA SIKU ITAWEKA MWILI WAKO KATIKA HALI SAFI SANA NA HATA AKILI YAKO ITAKUWA FRESH MUDA WOTE JUST TRY ALAFU UTANIAMBIA HATA KAMA HUJAWAHI KUFANYA MAZOEZI JITAHIDI KIDOGOKIDOGO.WATU HUFIKIRI HASA WATANZANIA KUWA MAZOEZI NI KWA AJILI YA KUPUNGUZA UNENE.SISEMI KUWA WEWE NI MNENE KWANI SIJAKUAONA WALA SIKUJUI ILA HATA TUKIONANA SI VIBAYA.ILA MAZOEZI NI KWA AJILI YA KUWEKA MWILI FITI HIVYO USIOGOPE KUFANYA HATA KAMA WEWE NI MWEMBAMBA.

ALAFU NAOMBA UNIJULISHE KAMA UNAVUTA SIGARA AU NI MNYWAJI WA KUPINDUKIA ALAFU NITAKUAMBIA KITU CHA MSAADA SANA KWAKO.ILAL KAMA HUVUTI WALA SIO MNYWAJI WA KUPINDUKIA BASI NI VIZURI SANA.

MWISHO KABISA,HAKIKISHA UNAMTANGULIZA MUNGU KATIKA MAMBO YAKO YOTE KWANI YEYE NDIYE MTATUZI MKUU WA MATATIZO YANAYOTUKUMBA.UWE MKRISTU,MUISLAMU AU HATA MPAGANI LAZIMA UNA MUNGU UNAYEMUABUDU.MPE NAFASI KATIKA MAISHA YAKO NA UTAONA MABADILIKO KATIKA NDOA YAKO.NASEMA HIVI KWANI TATIZO KAMA LAKO LAWEZA KUWA KIKWAZO KATIKA NDOA YAKO NA BAADAE UKAIONA MAISHA YA NDOA NI MACHUNGU.AMINI MUNGU ANAWEZA YOTE MPE NAFASI KWA JINSI ULIVYO NA KWA DINI YAKO ULIYOKO.CHA MSINGI NI IMANI YAKO KWAKE KWANI IMANI HUPONYA WALA SIO DINI.

NAOMBA UNIWIE RADHI KWA POPOTE AMBAPO NIMEKUKWAZA NA USISITE KUWASILIANA NAMI KWA MSAADA ZAIDI.

NAITWA HENRY PHILIP,NAISHI HAPA DAR,NAFANYA KAZI.SIJAOA BADO ILA NIPO MBIONI.

pOLE TENA SANA KWA TATIZO KAKA,KARIBU TENA.
 
wewe jamaa ni mjinga sana,mbona unampotosha mshikaji wako? yaani huo ndo usomi wako? kwakifupi, kati ya vyakula vyote hivyo ulivyoorodhesha, hakuna cha maana kwa hilo. dunianzima inajua kuwa, tunakula vyakula vyenye amoniam nyingi ili kuwezesha kutengeneza mbegu, na sio majimaji yaani semen. pili, wewe ni mchafu na hujui kitu, waliooa ndo wangetoa ushauri huo,wewe hujui na unajichora tu hapo, wewe unafanya mapenzi mara ngapikwa wiki? sisi wenzio tuliooa tunafanya kila baada ya siku moja na wake zetu, wewe hadi ukapange gest, utakuwa na uzoefu gani wa kuibia tu huo. nyamaza kimya waongee wanaojua bwana...tena acha uchafu huo, ni uzinzi huo utakuchoma moto. umeandika mistarimireefu, kumbe pointless kabisa.

kwa ushauri wa vyakula, mimi namshauri ale vyakula hivi....karanga,nyama nyekundu,water melon/tikiti maji, parachichi, kama kuna vitamins za zinc anaweza akapata,zitaongeza sana uzalishaji wa mbegu...muhogo hauongezi kitu chochote kile, usiwe mshamba kuwa kwasababu majimaji ya muhogo ni meupe basi ndo zenyewe...hahaha, futa hicho kitabu waandike wanaojua. we bado hujui. maziwa sawa, na anywe maji mengi. cha muhimu zaidi, anatakiwa awe fresh kwenye akili yake,kwasababu akili yake ikiwa frustrated, kila kitu kiaweza kikaenda kombo. we bwana mdogo, naomba ujue kuwa,hujui kitu na huna uzoefu wowote. sisi wenzio tunaofanya karibia kila siku ndo tunajua kitu. wewe mpaka ukaibe wapi bwana, subiri ufunge ndoa ndo utatoa maoni hapa. pusi we.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom