sijawahi kuzidisha mzunguko mmoja wakati wa kufanya tendo la ndoa

Ubungoubungo

JF-Expert Member
Jul 28, 2008
2,502
740
Jamani, samahanini, nisaidieni hapa, kwanza nashukuru registration yangu inafanya kazi, na humu ndani ni mgeni, ila naona pazuri sana. na mimi ngoja niweke tatizo langu hapa ili tusaidiane kulitatua.

Mimi jamani nimeoa, lakini toka nianze kujihusisha na mapenzi hata kabla sijaoa, sijawahi kupata bao la pili, bao la kwanza lenyewe huwa linachukua karibia dakika 50. nikianza kufanya mapenzi hadi mke wangu anasema amechoka na mimi nakaza misuli na kukojoa, lakini nikishakojoa tu, ndo sipati lingine hadi kesho au keshokutwa.

Hivi ni kawaida? na kwenda hadi dakika 50 ni kawaida? huwa natamani niende walau bao la pili lakini mwanamke huwa anakuwa ameshamaliza hamu kabisa, na mimi nikikojoa tu, yaani sina hamu nyingine. nifanyeje? kuna dawa? kama zipo, zinauzwa wapi?

Kuna rafiki yangu alinieleza niende kununua viagra, lakini sijui zinauzwa wapi, na zinaongeza nini? kwani viagra inaongezanini? inaongeza mbegu au inaongeza hamu tu. ukitumia itazidi kubaki vilevile kuwa na hamu au itabidi uwe unatumia kila mara ukitaka kufanya hivyo? kwa wale waliowai kutumia naombeni mnipe ushauri na ni wapi zinauzwa.

Pia kama kuna mtu mwenye ushauri mwingine au uzoefu na tatizo hili naomba aeleze hapa ili liwe ufumbuzi na kwa wengine ambao wamenyamaza kimya hapa wakati tatizo hili wanalo. ni mimi tu nimetitoa muhanga kuuliza hapa ila siajabu kuna wengu humu.
 
I don't know how i can help you sir, becuase, as long as your partner is satisfied, then what else do you need out of that? au unataka tukuelezee how utamu wa bao la pili is? kwasababu wewe unaridhika hamu inaisha,na mwanamke wako nae anaridhika, sasa unataka anasa gani ingine? unataka upige saba? na muda wenyewe huo unaendani mrefu kweli dakika hamsini ni nyingi sana hutakiwi uzidishe hapo mzee.hahaha.
 
ni kweli, manake kwa dakika hizo hamsini, shukuru Mungu. kuna wenzio wanaenda dakika tatu tu, na wanajisikia infirior sana kwa wanawake wao kwasababu wanawaacha bado wanagaragara hawajaridhika. lakini wewe umejaliwa unaenda hadi dakika hamsini, angalia usijesalimia wake za watu,manake watakung'ang'ania waache hata waume zao, kwani mademu hupenda mtu anaeenda kwa muda mrefu hadi hamu yao iishe.

I guess you don't know what they call "premature ejaculation", ni tatizo wenzio hadi wanaachwa, lakini wewe hapo naona upo fiti. bao la pili utamu ni uleule tu usitafute ukifiriri ni wa tofauti. cha zaidi utachosha akili yako na mwili wako tu. we ridhika na hilo moja kama mke wako anatosheka hadi anachoka na wewe unatosheka. si ajabu hadi majimaji yake hapo yatakuwa yamekauka mzee, dakika nyingi sana hizo..hahaha. huwa huchubuki?
 
Hata Watermelon lina Viagra like Effect, kwa hiyo sio lazima kununua pills. inabidi mkeo ajishughulishe na awe "anakuibia kidogo" yaani anapiga kelele za utamu na kukusifia kwamba umemfikisha "Its a mind game" Good luck.
 
Nakubaliana na mawazo ya wenzangu hapo juu, lakini nakushauri kitaalamu usinunue viagra, hiyo ni dawa ya kusaidia kusimamisha uume kwa wale ambao zinagoma kusimama, kama wazee, wagonjwa wenye kisukari n.k, wewe unavyosimulia ni kama tayari mwili wako una viagra.

Napenda kukupongeza kwa kuweza ku-sustain kazi kwa dakika 50, sasa unataka nini zaidi?, uzuri wa tendo la ndoa ni kuweza kwenda kwa muda mrefu mpaka kila mmoja awe hana hamu na si idadi ya safari za kukojoa!
 
ni kweli, manake kwa dakika hizo hamsini, shukuru Mungu. kuna wenzio wanaenda dakika tatu tu, na wanajisikia infirior sana kwa wanawake wao kwasababu wanawaacha bado wanagaragara hawajaridhika.
Hawa wamtafute Dr. Manyuki amabye ana matangazo mengi sana Dar es salaam.Hivi tatzio hili huwa linasababishwa na nini?Je lina dawa kweli sababu kila siku katikamagazeti kuna Matangazo mengi sana kuhusu hili..
 
I don't know how i can help you sir, becuase, as long as your partner is satisfied, then what else do you need out of that? au unataka tukuelezee how utamu wa bao la pili is? kwasababu wewe unaridhika hamu inaisha,na mwanamke wako nae anaridhika, sasa unataka anasa gani ingine? unataka upige saba?na muda wenyewe huo unaendani mrefu kweli dakika hamsini ni nyingi sana hutakiwi uzidishe hapo mzee.hahaha.

...thumbs up bruv, huyu braza kanikumbusha ule msemo, "mtaka yote hukosa yote!", hiyo Blue pill itakutoa roho kama sio kukuwekea pancha la kudumu kwenye 'tairi' lako.

...'Calories burned' kwa Saa moja kasoro dakika kumi kufunga Bao moja linakutosha ndugu yangu, ujenzi wa taifa pia unakusubiri wewe!
 
Mzee unatisha... Dakika 50 za stop clock ama? Well kama jamaa wa hapo juu walivyokushauri hauna haja ya kutafuta la pili as long as your partner is satisfied... kitu kingine cha muhimu ni husiana na hizo Viagra unazotaka anza kutumia....

Unaweza sababisha kifo!
 
Kama nimemwelewa vizuri mtoa mada hii, tatizo lake siyo katika erectivity, bali wasiwasi wake ni kwamba anahisi huenda anaupungufu wa mbegu za kiume. Kama hilo ni kweli basi namshauri awe na mazoea ya kula vyakula vinavyosaidia uzalishaji wa mbegu za kiume, kama vile karanga na parachichi (avocadol). Pia awe na mazoea ya kula tikitimaji(watermelon).

Faida zake ni kwamba, karanga na parachichi vitaongeza uzalishaji wa mbegu na tikitimaji litaongeza nguvu, ambapo utaweza kufunga magoli mawili katika muda huo wa dakika 50. Goli la kwanza unaweza kulipata ndani ya dakika 30 na goli la pili linaweza kupatikana kabla ya dakika ya 60 tangu kuanza kwa mpambano.

Kumbuka kwamba hautakuwa na muda wa mapumziko tangu dakika ile ya 1 ya mpambano huu hadi ile ya mwisho ya 50 au 60. Faida ya mbinu hii ni kwamba kila mmoja wenu atakuwa satisfied na kwa upande wako utaongeza kujiamini zaidi kama mwanaume wa shoka. Hakuna madhala utakayoyapata kutokana na hili, na mwili wako utakuwa always energetic kama mtu wa mazoezi.
 
Kama wenzangu walionitangulia mi naona huhitaji viagra kwakua huna tatizo la kusimamisha mnara,hiyo kauli ya kua unatumia dakika 50 ni ushahidi tosha, unachohitaji ni spray au cream itakayo kuongezea usikivu(sensitivity).

Sijui kama usikivu ndio kiswahili sahihi for sensitivity. Dawa hii itapunguza muda na labda utaweza kumudu bao la 2 bila kumdhuru mwenzio.

Tembelea phamacy kubwa ambao watakuagizia kama hawana kwakua tatizo kubwa la wanaume ni kuwahi kufunga bao na dawa za kuchelewesha ndio zilizo jaa hata mpaka supermarkets.
 
Tembelea phamacy kubwa ambao watakuagizia kama hawana kwakua tatizo kubwa la wanaume ni kuwahi kufunga bao na dawa za kuchelewesha ndio zilizo jaa hata mpaka supermarkets.
Dawa za tatizo hili zinaitwaje?na pia tatizo alilosema mara ya kwanza. Kwa kuwa umesema ni cream.ingekuwa vyema ungesema na jina lake ili umsaidie. tusitoe clue but exatly answers.
 
Duh! we jamaa kweli kiboko maana dakika 50 (kama ni kweli) si mchezo. Katika uzoefu wangu, ukienda muda mrefu namna hiyo demu lazima akauke ukeni halafu wengi huanza kuboreka na kuuliza 'have you cum yet?'...au 'cum baby'....
 
Weweeweewee!!!!!!!!!!1111111111111


Dk 50 !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11111111111

Unataka Mungu Akupe Kapu La Chawa!!!!kama Huyoi Mwanamke Wako Anavunmilia Hizo Dk 50 Ni Kiboko!

Yaanni Wewe Ni Kiboko Cha Mtu!!!uku Wanaomba Dawa Za Kuchelewa We Unaomba Za Kumwaga Araka Usisubutu Ukinywa Hizo Utamwaga Haraka Na Cha Pili ]\hadithi
 
Wengine Huwa Wanairudisha Nyuma Kuangalia Labda Utamaliza Haraka
Sasa Uoni We Ni Hatari Dk 50

Ugonile Ndaga!!!!
 
Dk 50!!! Duuh, we kidume! Mbona hizo ni nyingi! Hata hivyo, naomba mnifahamishe, kwa wastani unatakiwa ufikishe ngapi?
 
...'Calories burned' kwa Saa moja kasoro dakika kumi kufunga Bao moja linakutosha ndugu yangu, ujenzi wa taifa pia unakusubiri wewe![/COLOR][/QUOTE]

hapa hamna hata haja ya gym LOL, yaani 50 mins , sijui kama anatumia stopwatch ama??? duh!!

parachichi (avocadol). [/B]Pia awe na mazoea ya kula tikitimaji(watermelon)...Hivi avocado inaitwa parachichi??? haya shule hapa.
huyu jamaa anataka referee kabisa.
 
ukweli ni kwamba, hakuna mwanamke atakuwa ana-enjoy muda wa dk 50, yaani hata kama.... bwana we!
 
ukweli ni kwamba, hakuna mwanamke atakuwa ana-enjoy muda wa dk 50, yaani hata kama.... bwana we!

...shishi, wapo! 'nazi haikuniki uikunapo upande mmoja' lazima uigeuze geuze mpaka yote ikunike!' ...na ukunaji mzuri shurti kwa muda!
 
we nawe mchongoma ukunaji wa nazi ........... haya nimeinua mikono!!!
 
we nawe mchongoma ukunaji wa nazi. haya nimeinua mikono!!!

...'tena tui la mwanzo si ndilo mnalosema zito? Shishi si wajua pika mashatashata weye?'

Mkuu, uliyeuliza swali, ushauri mwanana ushaupata, ridhika na ulojaaliwa nalo, usije kitia kitumbua mchanga!

wasalaam.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom