Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dr. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

mwigulu lameck madelu nchemba, hivi kwa nini rais kikwete a.k.a mwenyekiti wa ccm taifa alikuteua kuwa makamu mwenyekiti wa ccm bara!
ndg wana jf salaam. Nimelazimika kuja hapa kuweka jambo hili sawa. Nimeona uzi unaoongelea kuwa mimi na mhe Nchimbi tumewashitaki vijana hao waliojitaja kwa kuingilia mawasiliano. Naomba kuweka wazi kuwa

1) Sijawahi kuwasiliana na mhe Nchimbi kwa E mail hata siku moja tangu nizaliwe.
2) Sijapeleka lalamiko la mambo hayo polisi wala vyombo vyovyote vya dola wala vya habari
3) E mail ilibandikwa ikionesha mimi nawasiliana na Nchimbi wala sio e mail yangu wala haijawahi kuwa e mail yangu.
4) Sikuwa hata na sababu ya kuwasiliana na Mhe Nchimbi kwa E mail kwakuwa muda mwingi tuko wote bungeni, kwenye vikao vya chama na mjini.
Inawezekana ni kweli vijana hawa wameitwa polisi, basi kama ndivyo, watakuwa wameitwa kwa kutengeneza e mail kwa majina ya viongozi, kutunga ujumbe wao na kutengeneza kama vile viongozi wamewasiliana na kuusambaza kwa lengo baya la kutaka kuchafua taswira za viongozi mbele ya umma. Hii ni tabia mbaya kabisa na vijana wa aina hii ni mizigo kwa Taifa. Naunga mkono polisi wafuatilie uzushi na ujinga huo wa watu kutengeneza e mail bandia, mawasiliano feki na kusambaza kama ndio mawasiliano halali ili umma upokee matope waliopanga kupakazia viongozi. e mail yangu iko kika mahali kwenye business card zangu. Nalaani kitendo chao cha kubandika e mail batili, mawasiliano batili na kusambaza kwenye mitandao, nalaani pia kwa kutokuwa wakweli kama wameitwa kwa kuandaa e mail feki na mawasiliano feki wanakuja huku kuripoti kuwa wameingilia mawasiliano. yapi? Sio e mail yangu, wala sijawahi kuwasiliana na Nchimbi kwa e mail. E mail yangu inafanya academic issues, nawasiliana na supp wangu wa PhD na wanazuoni wengine kwa academic issues. Ben, look at you?

MAJIBU ya BEN SAANANE
 
amini nawaambia, ben and the group are all behind this.
inatakiwa akili kidogo tu kuuelewa mchezo....
baada ya kukamilisha kazi yao(kwa malengo wanaoyajua wao) ya ku-create fake IDs na kujitumia ujumbe, wakaamua kuzivujisha kwenye mitandao ili waone athari zake as planned.
walipigwa na butwaa kuona kwamba wahusika(naanisha majina yaliyotengenezewa IDs) hawababaiki then stering wa movie BEN SAA8 akaamua kuwatumia sms ili kuwa-provoke.
hata mpelelezi wa kiwango cha chini kabisa atamuhusisha moja kwa moja Ben na huu upuuzi, alishindwa kuvumilia matokeo Hasi ya mpango wao akaamua kuji-expose blindly kwa kujifanya ana act smart kwa kuwatumia hao akina nchemba email.
personally, i can penetrate in to any computer, website and admistrated system any time at my will. apart from US EMBASS and WFP systems which are well protected, the rest of the systems,computers and websites in tanzania are more than 79% vulnarable to attacks and penetration.
ni rahisi ku-trace route flow ya information kutoka kwenye computer yoyote mpaka destination point huku trace routing ikionyesha IP ADRESSES za kila computer na majina ya computer husika.
na anayejidanganya kuwa eti hao wataalamu hakuna ndani ya jeshi la polisi!! aende polisi makao makuu akaulizie kichwa kimoja adimu kinachojulikana kwa jina la ADILI,,
Wajinga nyie watoto, tuko tayari tupunguze shughuli zetu za ujenzi wa taifa ili tupate muda wa ku-deal na nyie,,,,,,
we will never leave our country to pathetic DOGS

Hivi hiki ulichokiandika umekisoma mara mbili ukakielewa? Huyu ADILI yuko wapi hata wamuulize Ben Saanane katoa wapi password?
 
Last edited by a moderator:

Mwigulu mbona vitisho sasa polisi lazima muwe makini na mwigulu anaweza kusababisha amani ya nchi hii ikapotea huyu jamaa ni gaidi
 
Wewe ni mnafiki tu tunakujua kipaji chako ni umbea na uzushi.
Wow!

This is great! For sure nimeamua kuwasaidia jeshi la polisi kwa kuwapa Link ya hii thread.

Mchango huu ni wa muhimu sana kurahisisha hili sakata.

Kumbe tuna vipaji vinapotea bure tu.

Tupo kwenye right track so far.Thanks alot!
 
amini nawaambia, ben and the group are all behind this.
inatakiwa akili kidogo tu kuuelewa mchezo....
baada ya kukamilisha kazi yao(kwa malengo wanaoyajua wao) ya ku-create fake IDs na kujitumia ujumbe, wakaamua kuzivujisha kwenye mitandao ili waone athari zake as planned.
walipigwa na butwaa kuona kwamba wahusika(naanisha majina yaliyotengenezewa IDs) hawababaiki then stering wa movie BEN SAA8 akaamua kuwatumia sms ili kuwa-provoke.
hata mpelelezi wa kiwango cha chini kabisa atamuhusisha moja kwa moja Ben na huu upuuzi, alishindwa kuvumilia matokeo Hasi ya mpango wao akaamua kuji-expose blindly kwa kujifanya ana act smart kwa kuwatumia hao akina nchemba email.
personally, i can penetrate in to any computer, website and admistrated system any time at my will. apart from US EMBASS and WFP systems which are well protected, the rest of the systems,computers and websites in tanzania are more than 79% vulnarable to attacks and penetration.
ni rahisi ku-trace route flow ya information kutoka kwenye computer yoyote mpaka destination point huku trace routing ikionyesha IP ADRESSES za kila computer na majina ya computer husika.
na anayejidanganya kuwa eti hao wataalamu hakuna ndani ya jeshi la polisi!! aende polisi makao makuu akaulizie kichwa kimoja adimu kinachojulikana kwa jina la ADILI,,
Wajinga nyie watoto, tuko tayari tupunguze shughuli zetu za ujenzi wa taifa ili tupate muda wa ku-deal na nyie,,,,,,
we will never leave our country to pathetic DOGS

Wewe ndio pathetic birch dog...

--------- na Mwigulu Savimbi unajitoa ufahamu unaona wazazi Wako wanaolala na njaa kijijini kwenu kama wana laana vile. Open your eyes, umaskini Wako na WA wazazi Wako umesababishwa na akina Mwigulu Savimbi, badala ya kuwapigia magoti kwa njaa ya buku Saba waambie ukweli kuwa watanzania tumewachoka..

R.I.P Ally Zona, damu yako aliyoimwaga Mwigulu Nchemba haitipotea bure.
 
Mkuu roho inaniuma sana kwani nilishiriki kikao cha kukiujumu chadema nikijua namteketeza Lema na wana Chadema, ila cha ajabu nimempoteza mtoto wangu mpendwa.

Nilifanya kosa ila naapa kutorudia kosa, najua huko roho ya mwanangu ilipo inashuudia jinsi gani baba yake alivyoshirikiana na adui katika kukatisha maisha yake akiwa na umri mdogo kiasi kile. Naomba unisameee mwanangu baba yako nilifanya yote kwa sajili yako ili ule,usome,uvae vizuri kumbe ilikuwa kinyume badala yake makofi niliompigia Mwigulu kila mwisho wa sentensi yake kumbe nilikuwa nasogeza kifo karibu yako.
Nisameee mwanangu, Mwigulu naapa sitonyamaza kamwe.

Pole sana, kuna jambo la kujifunza hapo. Mlipokuwa mkipanga sirini kwa watu wengine waso na hatia, Mungu yeye akaidhinisha mwanao mpenzi awe miongoni mwa watakaodhuriwa ni mipango haramu ili uonje maumivu ya mipango miovu.
 
amini nawaambia, ben and the group are all behind this.
inatakiwa akili kidogo tu kuuelewa mchezo....
baada ya kukamilisha kazi yao(kwa malengo wanaoyajua wao) ya ku-create fake IDs na kujitumia ujumbe, wakaamua kuzivujisha kwenye mitandao ili waone athari zake as planned.
walipigwa na butwaa kuona kwamba wahusika(naanisha majina yaliyotengenezewa IDs) hawababaiki then stering wa movie BEN SAA8 akaamua kuwatumia sms ili kuwa-provoke.
hata mpelelezi wa kiwango cha chini kabisa atamuhusisha moja kwa moja Ben na huu upuuzi, alishindwa kuvumilia matokeo Hasi ya mpango wao akaamua kuji-expose blindly kwa kujifanya ana act smart kwa kuwatumia hao akina nchemba email.
personally, i can penetrate in to any computer, website and admistrated system any time at my will. apart from US EMBASS and WFP systems which are well protected, the rest of the systems,computers and websites in tanzania are more than 79% vulnarable to attacks and penetration.
ni rahisi ku-trace route flow ya information kutoka kwenye computer yoyote mpaka destination point huku trace routing ikionyesha IP ADRESSES za kila computer na majina ya computer husika.
na anayejidanganya kuwa eti hao wataalamu hakuna ndani ya jeshi la polisi!! aende polisi makao makuu akaulizie kichwa kimoja adimu kinachojulikana kwa jina la ADILI,,
Wajinga nyie watoto, tuko tayari tupunguze shughuli zetu za ujenzi wa taifa ili tupate muda wa ku-deal na nyie,,,,,,
we will never leave our country to pathetic DOGS

Stop! Wacha kabisa kuonyesha upumbavu wako kwa kutishia wapenda haki! Mmeng'oa kucha watu mmeua watu halafu mnataka tuwaache tu muendeleze ubaradhuliwe wenu! Wewe una uwezo gani wa ki-computer kama sio kutembea hovyo na wake za watu! Mawazo na vitisho vyako vya ki-asherati viache huko huko nyumbani kwako! Huna uwezo wowote mwoga na mvivu namba moja! Mmebaki kutumia vyombo vya usalama kufanya ufirauni na uuaji wenu na nchi imewashinda kuongoza! Kuna siku mtatolewa ofisini na mkiwa na pingu na mtajibu ujinga wenu wote mnaoufanya baada ya kuona nchi imewashinda! NA KAMA KWELI WEWE UNA UWEZO HEBU PENETRATE HII COMPUTER YANGU NINAYOTUMIA! NAKUAMBIA HUWEZI WEWE MWOGA! Unataka kutubabaisha na udokta wako feki wa kununua hapa!
 
Ben, asante kwa majibu yako. Wanadhani cdm hakuna wataalam, hakika nchi inakaribia ukombozi wa kweli. Ccm itumie njia nyingine na bado hawataweza kamwe. Mh. Wasira, sasa ni mwishoni mwa 2013 na chadema bado ni imara. Ongeza muda zaidi.
 
Mkono wa Mwigulu unatuhumiwa kunuka damu kila pembe ya nchi hii,WATZ hawana imani naye kila mtu anamuogopa kama shetani na ni aibu kwake na vijana wenzie! kuna matukio mengi na kauli zake zinaunganishwa nayo! Hakuna haja ya kuyarudia lakini napenda atambue kuwa JAMII YA WATZ HAINA IMANI NAYE! Mabaya yote na mauaji yanayosemwa yatamwandama na ni imani yangu kwa kuwa MUNGU ni mwema,mwisho wake utakuwa wa kusikitisha.AMEN
 
amini nawaambia, ben and the group are all behind this.
inatakiwa akili kidogo tu kuuelewa mchezo....
baada ya kukamilisha kazi yao(kwa malengo wanaoyajua wao) ya ku-create fake IDs na kujitumia ujumbe, wakaamua kuzivujisha kwenye mitandao ili waone athari zake as planned.
walipigwa na butwaa kuona kwamba wahusika(naanisha majina yaliyotengenezewa IDs) hawababaiki then stering wa movie BEN SAA8 akaamua kuwatumia sms ili kuwa-provoke.
hata mpelelezi wa kiwango cha chini kabisa atamuhusisha moja kwa moja Ben na huu upuuzi, alishindwa kuvumilia matokeo Hasi ya mpango wao akaamua kuji-expose blindly kwa kujifanya ana act smart kwa kuwatumia hao akina nchemba email.
personally, i can penetrate in to any computer, website and admistrated system any time at my will. apart from US EMBASS and WFP systems which are well protected, the rest of the systems,computers and websites in tanzania are more than 79% vulnarable to attacks and penetration.
ni rahisi ku-trace route flow ya information kutoka kwenye computer yoyote mpaka destination point huku trace routing ikionyesha IP ADRESSES za kila computer na majina ya computer husika.
na anayejidanganya kuwa eti hao wataalamu hakuna ndani ya jeshi la polisi!! aende polisi makao makuu akaulizie kichwa kimoja adimu kinachojulikana kwa jina la ADILI,,
Wajinga nyie watoto, tuko tayari tupunguze shughuli zetu za ujenzi wa taifa ili tupate muda wa ku-deal na nyie,,,,,,
we will never leave our country to pathetic DOGS

Hii nchi kuna watu wanapenda kujifagilia sana, umepost kutishia watu au kutafuta sifa? Unavyo vitaja hata sisi tunavijua vyema
 
Stop! Wacha kabisa kuonyesha upumbavu wako kwa kutishia wapenda haki! Mmeng'oa kucha watu mmeua watu halafu mnataka tuwaache tu muendeleze ubaradhuliwe wenu! Wewe una uwezo gani wa ki-computer kama sio kutembea hovyo na wake za watu! Mawazo na vitisho vyako vya ki-asherati viache huko huko nyumbani kwako! Huna uwezo wowote mwoga na mvivu namba moja! Mmebaki kutumia vyombo vya usalama kufanya ufirauni na uuaji wenu na nchi imewashinda kuongoza! Kuna siku mtatolewa ofisini na mkiwa na pingu na mtajibu ujinga wenu wote mnaoufanya baada ya kuona nchi imewashinda! NA KAMA KWELI WEWE UNA UWEZO HEBU PENETRATE HII COMPUTER YANGU NINAYOTUMIA! NAKUAMBIA HUWEZI WEWE MWOGA! Unataka kutubabaisha na udokta wako feki wa kununua hapa!

Teh teh teh asante mkuu,et kamtu kanajifanya ka-IT kumbe uchwara tu.Wakina Snowden tumetulia huku.Hata hivo Watanzania wapo ktk mkakati mzito sn."HATA DORA YA AMERIKA ITAKUJA ANGUKA TU" TENA KWA AMANI
 
usipende kuwa kama zezeta......jaribu ku-stick kwenye hoja ya msingi.....mwigullu kaleta utetezi wa kipuuzi ili.kila mtu achangie...

Sasa wewe zezeta badala ya kumuokoa huyo muuaji mwenzako unaleta porojo za kichangudoa......

Bomu mlioinjinia wewe na mwigulu kule soweto arusha ipo siku mtakufa kifo cha mabina..

bavicha ni kiwanda cha matusi.
Kama una ushahidi wa hilo bomu kwanini msiweke hadharani kama hamhusiki?
Acheni kutafuta umaarufu kwa majina ya watu nendeni mahakamani.

Alaf nimegundua hii story ya ben ni vigumu kuitenganisha na chadema ndio maana wamempatia wakili kabisa.
 
Stop! Wacha kabisa kuonyesha upumbavu wako kwa kutishia wapenda haki! Mmeng'oa kucha watu mmeua watu halafu mnataka tuwaache tu muendeleze ubaradhuliwe wenu! Wewe una uwezo gani wa ki-computer kama sio kutembea hovyo na wake za watu! Mawazo na vitisho vyako vya ki-asherati viache huko huko nyumbani kwako! Huna uwezo wowote mwoga na mvivu namba moja! Mmebaki kutumia vyombo vya usalama kufanya ufirauni na uuaji wenu na nchi imewashinda kuongoza! Kuna siku mtatolewa ofisini na mkiwa na pingu na mtajibu ujinga wenu wote mnaoufanya baada ya kuona nchi imewashinda! NA KAMA KWELI WEWE UNA UWEZO HEBU PENETRATE HII COMPUTER YANGU NINAYOTUMIA! NAKUAMBIA HUWEZI WEWE MWOGA! Unataka kutubabaisha na udokta wako feki wa kununua hapa!

Rest in Hell MABINA! !!
 
wewe kila kitu unachoambiwa unameza tu kama dodoki? una ushahidi wa mambo hayo unayoongea? tumia akili usiwe unameza kila uzushi unaousikia

Ndugu yangu, laana uliyo nayo na ukatili ufanyao kwa waTanzania wenzako kisa siasa, malipo ni hapa hapa duniani. Nafsi yako inakusuta, hii leo ndiyo unakurupuka kujibu shutuma, ulikuwa wapi siku zote? Au kwa kuwa swahiba wako Nchimbi kapigwa chini uwaziri hanmna ujanja tena wakutumia policcm na usalama wa taifa kufanya ufedhuli wenu?
 
mh mwigulu,leo hii unatoa hoja ya vijana kutowachafua viongozi,?????? mkakati wako wa kuwachafua viongozi wa cdm ikiwa ni pamoja na kutengeneza tuhuma na video ya ugaidi ilikuwa sawa? ACHA UNAFIKI NA UJINGA.

Bora anayewachafua kuliko MUUAJI,DAMU iliyomwagika itarudi tu. "Mwigulu na Ndugai njooni Mbeya mfanye mikutano ya hadhara kama ninyi kweli ni wanaume"
 
Stop! Wacha kabisa kuonyesha upumbavu wako kwa kutishia wapenda haki! Mmeng'oa kucha watu mmeua watu halafu mnataka tuwaache tu muendeleze ubaradhuliwe wenu! Wewe una uwezo gani wa ki-computer kama sio kutembea hovyo na wake za watu! Mawazo na vitisho vyako vya ki-asherati viache huko huko nyumbani kwako! Huna uwezo wowote mwoga na mvivu namba moja! Mmebaki kutumia vyombo vya usalama kufanya ufirauni na uuaji wenu na nchi imewashinda kuongoza! Kuna siku mtatolewa ofisini na mkiwa na pingu na mtajibu ujinga wenu wote mnaoufanya baada ya kuona nchi imewashinda! NA KAMA KWELI WEWE UNA UWEZO HEBU PENETRATE HII COMPUTER YANGU NINAYOTUMIA! NAKUAMBIA HUWEZI WEWE MWOGA! Unataka kutubabaisha na udokta wako feki wa kununua hapa!
Here we go.... Notredame hata uje na id gani, huwezi kuficha abuse ya access to info and people around you

I dont think kumtaja adilli ni sahihi
 
Back
Top Bottom