Sijawahi Kuwaelewa Watu Hawa

eeh ndio hivyo..ila wakati mwingine pasipo wewe kuwepo watu wa namna hiyo hucheka pekeyao..na wanamambo ya kujinga sana, pu..u zinaweza muwasha akajikuna uku anacheka ama kurembua...we waache tu kama walivyo

Acha utani.... Pumbu zikuwashe ucheke kweli?
 
Watoto wa mjini wanasema kufa na tai shingoni
Hiyo hali ni mbaya sana hatuifurahii unaweza pata magonjwa ya moyo na Mara nyingi huwa tuna tabia ya kutunza
Yaani
Usoni kuna tabasamu lakini macho huwa yanaonyesha huzuni,kwa mtu makini atagundua hilo. Moyo huvumilia maumivu lakini ukishindwa inabidi machozi yatoke!!!

Cheko na tabasamu la maumivu ni chungu mnoo!!!!
 
Kuna watu huwa hawajui kununa. We ukimuudhi yeye anacheka tu. anaweza kuwa kwenye hali ngumu ya kutatiza lakini utakuta mtu bado anatabasamu tele usoni.

Hivi watu ni wa kawaida kweli au?
Kama huyu hapa
 

Attachments

  • IMG_20171115_084732_707.jpg
    IMG_20171115_084732_707.jpg
    32.3 KB · Views: 37
Vitu vinaumiza ndio..ila kwanza unatulia na hata kama vinakuumiza wewe sio tiketi kila.mmoja naye alie.. Kuwa mchango chanya kwa.wengine.
 
Yaani
Usoni kuna tabasamu lakini macho huwa yanaonyesha huzuni,kwa mtu makini atagundua hilo. Moyo huvumilia maumivu lakini ukishindwa inabidi machozi yatoke!!!

Cheko na tabasamu la maumivu ni chungu mnoo!!!!
Kweli kabisa machozi yanapunguza maumivu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom