Sijawahi kuumia kama nilivyoumia hivi sasa nisaidieni

Polee, huenda kule kumpenda sana kuliko anavyostahili ndio kumesababisha Leo amekuumiza sana ingawa hukustahili maumivu, ni vyema uwe imara na kumruhusu aende lakn usisahau kuwa na busara za kumsubiria yule unayesitahili kuwa naye, AMKA
 
Mrudie uendelee nae wakat huo ukijifunza taratibu kuishi bila yeye then na wewe unatafuta wako taratibu
Dada ukweli ni kwamba ndoa za sasa ni majanga matupu cheating nje nje hata wewe ukiolewa utaibiwa pia so iba tu haina ubaya
 
Njoo kwangu. Nitakusaidia kumsahau
 
mungu

Mungu

god

God


Ni kweli asilie Mungu ana mpango nziri juu yake hawezi jua amemuepusha na nn. Amuelekee Mungu atmpa wa ubavu wake.
 
Time will come ambapo wanaume marijali tutahitaji ulinzi mkali sana, maana tutakuwa tukiwindwa na mashoga, wanawake na pia wale wanaume wasioweza kubebesha mimba watakuwa wakituwinda ili tukawape wake zao watoto
kwa hii prophecy .. miaka hiyo tutakukumbuka utaishi kwenye kumbukumbu za watu Kama mwona maono ..nabii bujibuji...
Prophet bujibuji..
Nami nitakuwa nikilitangaza jina lako ..na kusema kuwa alipata kutabiri ...😂😂😂
 
Duuuh aisee......2years hujawahi hata kujua ndugu au rafiki yake......shida yenu mnapenda vichipsi chipsi vya mitaani hata siku moja kusema nataka nikakupikie kwako ili ufanye kautafiti kumjua vizuri, mnashangilia vipiza na kuzurula kwenye mahotel, shopping malls.......kuwa na mtu serious kiasi hicho halafu unakula naye bata tu ni tatizo pia na kwako
 
Ila una moyo,miaka miwili yote unaning'inia tu kwenye mkuyenge wake hufahamu hata maisha yake
 
inaelekea huyo jamaa alikuwa sponsor na alikuchukulia kama chombo cha starehe tuh. ushauri wangu usijizuie kulia tena lia sana ukiweza hta garagara but itafika time utasema enough na utapata mwngne,
kitu kingine jitathmini umekaa kiwife material au ndo wale bata nyingi na tuma ya kutolea then anza kujiweka as wife material
 
Pole kwa maswahibu. Nakushauri usiendelee kuumiza moyo wakati mdomo wako unaweza kukurudisha furaha uliopoteza. Kumbuka ni ww uliemwandikia "its over betwen us". Kwa hiyo sikiliza maumivu ya moyo wako. Usiombe msamaha ila mwambie "Nakushukuru kuniambia ukweli" wachache wanamoyo kama yuo". Kwahiyo mpigie muongee. Na ukipendezeshwa enshi nae kwa mkataba... "Kumbuka ukimvulia mamba nguo hutakiwi kurudi nyuma...." ((Njoo nikupe Dawa utafanyikisha anzma yako kwa haraka))
 
Kwanza pole sana,mapenzi yanauma yasikie tu kwa jiran,jitulize muombe sana MUNGU,ww si wa kwanza wala wa mwisho kuumizwa,kuna kitu kizuri mbeleni kinaandaliwa kwa ajili yako,usirudi nyuma,achana na huyo mtu japo inauma.
Mwisho nikuulize HUKUWAHI KUMLIZA MTU HUKO NYUMA?kama ulishawahi basi haya ndio malipo yako,yavumile yatapita.
 
Umefanya kosa kukubali kumuacha haraka, kubali unampenda na unamuhitaji, mrudie alafu umuache taratibu taratibu hadi pale utakapomove on au kuanzisha mahusiano mapya, otherwise itakugharimu sana kutoka hapo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…