Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,831
- 6,878
Mimi ni mwanaume age 25 nina kazi tu nzuri lakini cha ajabu ata kutongoza bado naogopa wanawake sana, yaani naweza tetemeka nikikutana nao.
Wana MMU naombeni ushauri wenu maana naweza nikazeeka bila kupata mchumba.
Nilishawahi fungua uzi wa jinsi ya kutongoza but mlinipa mbinu cha kushangaza.
Practice ni ziro au nina tatizo?
NB: Nina maanisha (serious)