Sijawahi kutoa mwanamke out

Sijawahi kutoa mwanamke out

kwa nini hujawahi labda tuanzie hapo.
hupendi,huna pesa unatoswa au nini sababu mkuu em funguka basi.................
 
Hili lina athari katika mahusiano?

MARA MOJAMOJA SIO MBAYA...SEHENU ZIPO NYINGI...WEWE TU

2.JPG
images
mainaki-saa-538.jpg


ANGALIA HATA AWA WASIKUZIDI...........

226758_131233563618841_2186654_n.jpg
 
lina athari kubwa sana, yaani kupita kiasi. hebu mtoe out mwenzio. mambo gani hayo?
 
Back
Top Bottom