Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 14,510
- 27,004
Kwani enzi kabla ya Kikwete yalikuwepo??.
Ulikuwa ndichi ndichi mno, ambako hata leo hayo mambo hayajafika…. watu wanasherehekea 'besidei' ya Yesu hatusemi.
Kwani enzi kabla ya Kikwete yalikuwepo??.
Eti ndichi ndichi?!!!!. Birthday ya Yesu huwezi kufananisha na birthday zetu.Ulikuwa ndichi ndichi mno, ambako hata leo hayo mambo hayajafika…. watu wanasherehekea 'besidei' ya Yesu hatusemi.
Mpelekee motoNdugu zangu tangu naanza uchumba na mke wangu adi Sasa tuna miaka 3 kwenye ndoa na mtoto mmoja,,sijawahi kusherekea nae siku yake ya kuzaliwa Kama ilivo apo juu.
Mara nyingi amekuwa akituunga mkono sisi yaani
MIMI
MDOGO WAKE (shemeji) &
MTOTO WETU
Ambao wote tumezaliwa mwezi,,tarehe moja yaani 12.6.,,,
Naomba ushauri wenu ndugu zangu nifanye surprise gani kwake? Adi Sasa sijamwambia chochote na wala hana mpango wowote wa sherehe yake ya kuzaliwa
Karibu mnipe la kufanya
Wwka namba yake hapaNdugu zangu tangu naanza uchumba na mke wangu adi Sasa tuna miaka 3 kwenye ndoa na mtoto mmoja,,sijawahi kusherekea nae siku yake ya kuzaliwa Kama ilivo apo juu.
Mara nyingi amekuwa akituunga mkono sisi yaani
MIMI
MDOGO WAKE (shemeji) &
MTOTO WETU
Ambao wote tumezaliwa mwezi,,tarehe moja yaani 12.6.,,,
Naomba ushauri wenu ndugu zangu nifanye surprise gani kwake? Adi Sasa sijamwambia chochote na wala hana mpango wowote wa sherehe yake ya kuzaliwa
Karibu mnipe la kufanya
Mkuu mshikilie uyo nina mshikaji wangu demu wake ana brithday mbili kwa mwaka na demu anahis mshikaj huwa anasahau ila hii life wakuu tutafika mbinguni tumechoka sana