SIJAWAHI KURIDHIKA JE NINA TATIZO!!!!!!!

Umewezaje kujua hujawahi ridhika ikiwa hujui kuridhika kukoje, mi nimeuliza tu.
 
Sawa nimekuelewa ila naomba nikueleweshe vizuri ....kwa kifupi niseme kwa naweza 1 2 3.... Then unakuta mpaka yy anapoteza kabisa hamu wakt mm ......
Sidhani kama huwa kuna kukinai kwa mwanaume alie na nguvu zake timamu, hilo sahau ni ww tu kusema ngoja nitosheke
 
Ukipata mke utaridhika kabisa dogo, lakini kwa kuchepuka sijui kama yupo anaeridhika.

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Oooooooooh so unamanisha mm kutokinai siyo tatizo....?
Point yako sijaielewa
 
Ukipata mke utaridhika kabisa dogo, lakini kwa kuchepuka sijui kama yupo anaeridhika.

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hata hivo huyuhuyu no Mke wangu tarajali
 
Sio tatizo kabisa tena big up[emoji106]
Pako hiviiiii inafika mahali mpaka ananiuliza hivi hata siku moja huwezi 2lia sasa hapo ndo panapotokea shidah!!!! Maana naona kama namkera vile sijui nifanyaje
 
Hata hivo huyuhuyu no Mke wangu tarajali
Tofauti ya mke na mchepuko zipo hapa.
Mke upo nae 24/7 hata kukuacha lazima kupite vikao na familia kujaribu kutatua tatizo.
Mchepuko akikuchoka au akipata mwengine anasepa.
Sababu ya kukwambia mchepuko huridhiki yupo sana kimitengo inawezekana anafanya sex kwa ajili ya kupata anachotaka.
Mke hukupa kwa kukuridhisha mumewe na yupo mapenzini na hana pa kwenda nanga kishafunga.

Asante kwa ushauri mzuri mkuuuu
 
Back
Top Bottom