Sijawahi kupendwa

unakutana na rude Gal, kutana na Gal mwngne utaenjoy hayo mapenzi ya kuch kuch hottae
Thubutuu Ujinga wa kupenda jinsi ulivyo kwanza ukimpenda mtu Sana hata Kama she's/he good person lakini lazima uwe uanze kuishi kwa wasi+ , Yaani akichelewa kurudi unaanza kuwaza differ , asipopokea simu inakua hivyo pia , Yaani unakuwa Kama you're living in hell , hayo ndio Mambo nisiyo yataka
 
Nimeshajua aina ya wanaume unao-date nao. Mara nyingi watoto wa mama wanaojiona wa kishua ma-HB ndo hawanaga mambo za kupenda coz wanapendana na mama zao. Tena ukute ni ya kaskazini ndo balaa kabisa
 
Thubutuu Ujinga wa kupenda jinsi ulivyo kwanza ukimpenda mtu Sana hata Kama she's/he good person lakini lazima uwe uanze kuishi kwa wasi+ , Yaani akichelewa kurudi unaanza kuwaza differ , asipopokea simu inakua hivyo pia , Yaani unakuwa Kama you're living in hell , hayo ndio Mambo nisiyo yataka
watu weuweeeeeeeeh. Hahahah
 
Huu mwandiko huu, kama unakuja halafu unapotea...anyway

Bi mkubwa, wakati sahihi ukifika utapata wa kukupenda nawe utaishi ukishihudia maneno makuu ya mapenzi, itoshe kusema hujaweza kukutana na mtu sahihi...

Huu uzi ungeandika enzi nikiwa kijana bado, ningekutafuta bi mkubwa nikuoneshe walipoandika neno 'kupendwa' kwenye kamusi walikuwa na maana gani haswa...
Ongeza mwingine mkuu
 
Hello dears just want to share something with you about my love life.

I have grown up to 29 years old now and the worst thing is I have never seen love yaani sijui utamu wa mapenzi sijawahi kupendwa na mwanaume akanifanya mtu muhimu kwake.

Sina shida kwenye suala la uaminifu na wanaume wote wawili ambao nilishawahi date nao wananisifia sana kwenye suala la uaminifu.

Am kind of wife material can do all house chores, am respectful to all people, ni msafi kuanzia ndani mpaka nje, am not after my man's money I know how to make my own, sina sura mbaya wala nzuri (am presentable) but I always wonder why I can't find true love.

Now nipo kwenye r/ship na mwanaume mmoja (yupo pia humu JF jina kapuni) yan he doesn't show love he doesn't care about me despite being in r/ship for almost ten years. Sipendagi kuanzisha uhusiano mpya coz am that kind of a person ambae ni mgumu sana kumzoea mtu (it may take two years kumzoea mtu mpya)

My point is natamani kupendwa jamani natamani kubembelezwa kama wanawake wengine. I want to feel love.

I want to be asked in the morning 'how are u sweetie have a nice day'
I want a man to tell me 'I love you Mercy you are my everything'..
I want to make love & not sex which I do now.. jaman sijui mnanielewa..
Ayo yote yataisha siku ukijifunza kuandika kiswahili kizuri:rolleyes::rolleyes:
 
Usione mapaa Kasie yanaficha mengi, kuna siku ninapata leave Mzee akiwa kwa mchepuko.

Ukweli kabisa ulichosema na maisha yanaenda.

Kikubwa kuheshimiana na amani iwepo, akirudi anakuta kaandaliwa maji ya vuguvugu ya kuoga, akitoka ugali wa bada na kuku viko tayari akishiba unamtandikia na katikati ya kitanda unaweka kitenge/khanga yako nadhifuuu ambayo upande mwingine umejifunga .......

Asubuhi mnaamka mnatabasamu tuu watoto wanajua mshua anaupiga mwingi.....

#PaaLinafichaMengi....
 
Sijaona K Vant na Kitimoto hapo.

Nimesusa....

Aahahahahaaa babuuuu unaanzaje kususa sasa.....

Nipe link ya chimbo jipya la kitimoto mjini Daslam nakuja na boksi la KVant.....

Ila saa ya kuondoka ukishindwa kunyanyuka namuita Sky aje akurudishe nyumbani 🤣🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom