reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,426
- 29,303
Hahahaha!uko korrekti 100% wako vze kwenye kuhudumia very responsible man!na wako vzr kwa shows!ila masuala ya bebi bebi wapelekee watangaaBaba Gudi ana nini lakini?ila Ukibahatika upate ule mwamba umesomea bush country huko ila kafanikiwa kutoka kimaisha,lafudhi ileile bado anayo uta enjoy Sana show... ni wakarimu mnooo hawana porojo wale ni mwendo wa kutunzwa tuuu







.
.