Sijawahi kupenda mwanamke

Sijawahi kupenda mwanamke

Habari zenu wanajanvi ,rejea kichwa cha habari hapo juu to be honest cjawahi kumpenda mwanamke toka moyoni kwangu mpaka japo nina miaka 27 je ni kwamba umri bado wa kupenda au nimeshapitiliza ,kama kugegeda ni kama kawa mimi huwa napendwa to wa wasichana naombeni ushauri

Unajichua sana?
 
Sasa kama hupendi mwanamke utakuwa unapenda mwanaume bila shaka
 
Utakuwa umezoea vya kunyonga, kwa hiyo vya kuchinja huwezi.
 
Habari zenu wanajanvi ,rejea kichwa cha habari hapo juu to be honest cjawahi kumpenda mwanamke toka moyoni kwangu mpaka japo nina miaka 27 je ni kwamba umri bado wa kupenda au nimeshapitiliza ,kama kugegeda ni kama kawa mimi huwa napendwa to wa wasichana naombeni ushauri


Puchu itakumaliza wewe!!!
 
Unaomba ushauri wa nini? Wanawake waache kukupenda na miaka yako 27 au ?
Aisee.... Bado mpya sana wewe eh?
Join Date : 13th January 2015Posts : 2

Rep Power : 0

Likes Received: 0
Likes Given:0

kuku mgeni hakosi kamba mguuni:flame:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom