Sijawahi kupanda ndege

Sijawahi kupanda ndege

ha ha ha aha tafuta laki tatu na elfu 20 nenda kwa wakala wa kukata tiketi za ndenge waambie nataka return tiketi ya mwanza kwa fast jet watakupa tiketi ya kwenda na kurudi.

Siku ya safari wahi saa moja kabla ya safari pale airport ubebe na kitambulisho chako chochote ukiwa na kupigia kura itakua vizuri zaidi then zingatia muda watu wa ndege wako makini na muda sana.

Baada ya maelezo hayo nakutakia safari njema usisahau kubeba simu yenye kamera kwa ajili ya kujipiga selfie ukiwa angani wanaruhusu usihofu na ukumbuke kuludi na ndoo ya samaki toka Mwanza
 
ha ha ha aha tafuta laki tatu na elfu 20 nenda kwa wakala wa kukata tiketi za ndenge waambie nataka return tiketi ya mwanza kwa fast jet watakupa tiketi ya kwenda na kurudi.Siku ya safari wahi saa moja kabla ya safari pale airport ubebe na kitambulisho chako chochote ukiwa na kupigia kura itakua vizuri zaidi then zingatia muda watu wa ndege wako makini na muda sana.baada ya maelezo hayo nakutakia safari njema usisahau kubeba simu yenye kamera kwa ajili ya kujipiga selfie ukiwa angani wanaruhusu usihofu na ukumbuke kuludi na ndoo ya samaki toka mwanza
Kifinga.
 
Shukrani sana dada,ngoja namimi nikaone anga, selfie zinaruhusiwa?
 
Sawa, swali la mwisho, nikiwa angani nikichungulia dirishani naona vitu vya chini kama miji, misitu nk au havionekani?
Vinaonekana mkuu ila kwa udogo sana labda mkikalibia kutua ndio view ya mji unaiona clear kabisa watu magari na mishe mishe za mjini unaziona
 
ha ha ha aha tafuta laki tatu na elfu 20 nenda kwa wakala wa kukata tiketi za ndenge waambie nataka return tiketi ya mwanza kwa fast jet watakupa tiketi ya kwenda na kurudi.Siku ya safari wahi saa moja kabla ya safari pale airport ubebe na kitambulisho chako chochote ukiwa na kupigia kura itakua vizuri zaidi then zingatia muda watu wa ndege wako makini na muda sana.baada ya maelezo hayo nakutakia safari njema usisahau kubeba simu yenye kamera kwa ajili ya kujipiga selfie ukiwa angani wanaruhusu usihofu na ukumbuke kuludi na ndoo ya samaki toka mwanza
Shkamo kifinga
 
Back
Top Bottom