Sijawahi kuona.....

Sijawahi kuona jua linawaka usiku

Mkubwa Kijino kuna nchi inaitwa Norway nilishaenda kule nikaona wanaita 'midnight sun' hasahasa ukiwa kaskazini ya Norway panaitwa NORDCAPE jua 24 hrs ila ni baadhi ya miezi.
 
Last edited by a moderator:
Sijawahi kuona baba akimsimulia mtoto wake kwamba yeye alikuwa anakuwa wa mwisho darasani ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…