Hapana mkuu, kila mtu anafanya aonavyo nafsini mwake... sio vibaya kumshauri mazara yake... maana uamuzi wa mwisho ataamua yeye¡Sasa mkuu kama wewe hutumia nyama ndiyo unataka na wenzio wasitumie?
Ni kweli... mkuu bahati nzuri protein haipo kwa kitimoto pekee... kuna maharage, samaki n.k kwa hiyo sioni nachopotezaHata sisi hatupungukiwi na chochote kwa kumtafuna mdudu, sana sana tunapata protini kwa wingi, zinc na vingine vingi
Hujakaa Mbeya.Hivi Sehemu nyingi utakuta Supu Mbuzi/Ng'ombe Kuku,Samaki na Pweza hata wanapouza Kitimoto sijawahi kuona supu yake inauzwa
Unataka kupata ladha ya supu ya nguruwe mkuu?Hivi Sehemu nyingi utakuta Supu Mbuzi/Ng'ombe Kuku,Samaki na Pweza hata wanapouza Kitimoto sijawahi kuona supu yake inauzwa
Usiite Najisi kilichotakaswa na Mungu.Hacheui huyo dogo.... japokuwa ana miguu ya kupasuka kati...
No one can free your mind. Bora utumwa mkongwe kuliko "fikra za kitumwa"hakuna aliyenishikia rungu, kwamba unaacha huachi.....
Tena ukiamua kwa moyo mweupe unaona kawaida tu¡
Inategemeana....Usiite Najisi kilichotakaswa na Mungu.
mkuu Hizo fikra.. zinatumikishwaje labda,No one can free your mind. Bora utumwa mkongwe kuliko "fikra za kitumwa"
Ipo ya utumbo wake unashindiliwa nyama nyama na damu kidogo karoti pilipili hoho inatumbukizwa kwwnye sururia inachemshwa ukikaribia kuiva u atobolewa na tuthpick (ili usipasuke )basi ukiiva ukitolewa ukawekwa swhemu ukapoa kiasi ulakata ukila baba ma supu yake ni balaaHivi Sehemu nyingi utakuta Supu Mbuzi/Ng'ombe Kuku,Samaki na Pweza hata wanapouza Kitimoto sijawahi kuona supu yake inauzwa
Naipenda sana hiyo siku ntatokeaUkifika mbezi Mwisho Mbezi ya magufuri shuka kituo Cha chini then hapo kituo Cha chini mbele kidogo Kuna round ya bout hapo ulizia bajaji zinazoenda kinyerezi, usifike Sasa kinyerezi mwambie akushushe kanisani , ukishuka tu hapo hapo kanisani Kuna guest inaitwa MACHAME , hapo hapo Kuna kibar kidogo wanauza supu ya kurue , ya kongoro kila siku hapo inapatikana