Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,118
Wapo walemavu wengi kwenye Biblia waliopakwa mafuta kutumikia kazi ya Mungu. Mmojawapo ni MUSA(Kutoka 4:10-17).Mkuu sakrament ni nyingi tu,na hakuna anayepata zote,kwa mujibu wa kanisa. Lakini katika biblia hizo sakrament sijaziona ndio maana nimezungumzia kupakwa mafuta maana hilo lipo kibiblia,isijekuwa tunazungumzia vitu tofauti hapa. Je kuna mpakwa mafuta aliyekuwa mlemavu katika biblia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana.
Biblia inasema Musa alikuwa na ulemavu wa kuongea (Bubu!?), hakuwa na Uwezo wa kuongea kwa sauti akasikika na kuelewekeka. Na ni ulemavu aliokuwa nao hata kabla hajapata utume(kupakwa mafuta), na hata alipopakwa mafuta ya kwenda kutumikia kazi ya Mungu, Musa alikataa kwa sababu hiyo ya ulemavu huo. Mwisho wa siku Mungu akamchukua Haruni kuwa msaidizi wa Musa katika kuongea mbele za watu nk.
KUTOKA 4:10-17
Hapana, wapo wenye miguu bandia au vyuma miguuni nk ila sio rahisi kuwajua. Ila wale wanaoathirika sana na ulemavu wanaenda kutunzwa kwenye nyumba zao, wapo hata wenye ulemavu wa akili wanatunzwa huko ndio maana huwezi kuwa ona hovyoKwahiyo padri akipata ajali na kukakatika mguu anavuliwa upadri wake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Speech disability alikuwa nayo MusaSijawahi gundua hilo mkuu,labda unijulishe kama alikuwa na ulemavu gani na ulianzia wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani hiyo concept ya kupakwa mafuta hujaielewa vyema.Ila Musa alikuwa mteule ila sio mpakwa mafuta. Biblia inasema Musa alipakwa mafuta?
Yap hawachukui mtu mwenye ulemavu wa Aina yeyote ile hata ulemavu wa nguvu Za kiume kutokuwa nazo hawautaki.Kusali kwangu kote hapa duniani sijawahi kukutana na padre kilema. Au ni makanisa ninayo sali tuu? Je nikigezo kimojawapo cha kuwa Padre?
Mkuu ukiwa Na ulemavu wa viungo unachujwa kwenye interview ya kwanza ile Oral interviewHapana sio kigezo kimojawapo cha kuwa padri
Huyo labda kapata ulemavu akiwa tayari padre.Hawataki mtu mwenye ulemavu kuleNimuewahi muona mmoja hata asubuhi hii nimeonana naye. Though naye aliwahi nisimulia chamgamoto alizopitia mpaka hapo alipofika. Ni dhahiri kuna ubaguzi na mapokeo ya kipuuzi kuhusiana na ulemavu ktk utumishi huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok. Anasalisha parokia gani?
Naunga mkono hoja.Nimepita huko .Hawataki uende upadre kisa unaenda kuficha udhaifu,wanataka sadaka inayouma.Ukiwa siyo rijali Sahau kuwa padreNdio ni kigezo kimojawapo...Na pia hakuna padre hanithi(ashakum si matusi)
Kwanini...?
Upadre na Sadaka(Sacrifice)...yani unajitoa mzima mzima kama ulivyo....Yani si una-opt kuwa padre kwasababu wewe ni mlemavu, au wewe audi.n...d ndio unakimbilia upadre..upadre ni Sadaka iliyosafi..ni kujitoa..bila kujibakiza..
Wajuzi watajazia nyama
Hawezi kuvuliwa upadre kwa vile umepata ulemavu ukiwa tayari padreKwahiyo padri akipata ajali na kukakatika mguu anavuliwa upadri wake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu nakusoma vizuriNakuambiaje huyo alipata ulemavu akiwa padre na si kabla ya kuwa padre....
Yani Upadre si chaka la kukimbilia eti kwa kuwa upo unfitt kwenye jamii basi ukimbilie upadre..hiyo ndio maana ya kujitoa sadaka..
Mkuu Huyo atakuwa kapata ulemavu akiwa Padre.Wapo very selective kupata mtu wa kuwa padre.Ni ngumu almost impossible kuingia katika upadre ukiwa Na kilemaOk. Ila Poa Tu hapo juu kadai kawahi kumuona. Ata asbh hii kamuona!!!
Nadhani hiyo concept ya kupakwa mafuta hujaielewa vyema.
'Kupakwa mafuta' ni neno la kawaida kwenye biblia likiwa na maana mtu aliyeteuliwa na Mungu ili kwenda kuitumikia kazi fulani maalum ya Mungu. Hivyo neno mteule halina tofauti yoyote na Mpakwa mafuta.
Hivyo Musa alipakwa mafuta pia.
Siyo kweli anaendelea Na upadre wake.Kumbuka ukiingia kwenye upadre unafia huko huko hurudi nyumbani labda ufanye makosa ndo unarudishwa kwenuYaah kazi baaasi
Musa alikuwa Na kigugumiziMkuu usikufuru.
Mbele ya Mungu, mapungufu yako ya kimwili sio issue kabisa. Mungu akikuchagua, hakuna wa kupinga. Yeyote yule anaweza kupakwa mafuta. Ni mungu mwenyewe anaamua.
Unamjua Musa wewe?
Nenda kamsome halafu utagundua alikuwa na ulemavu gani.
Kwenye Biblia wanasema alikuwa Na kigugumizi ndio maana Aron (Haruni) akawa msemaji wake kwa FaraoSijawahi gundua hilo mkuu,labda unijulishe kama alikuwa na ulemavu gani na ulianzia wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Rijali maana yake ni mwanaume mwenye nguvu za kiume (Kumtamani mwanamke+kusimamisha uume+kumwaga manii)Naunga mkono hoja.Nimepita huko .Hawataki uende upadre kisa unaenda kuficha udhaifu,wanataka sadaka inayouma.Ukiwa siyo rijali Sahau kuwa padre
Musa alikuwa Na kigugumizi