Sijawahi kuona Padre kilema

Sijawahi kuona Padre kilema

Kusali kwangu kote hapa duniani sijawahi kukutana na padre kilema. Au ni makanisa ninayo sali tuu? Je nikigezo kimojawapo cha kuwa Padre?
Ndio ni kigezo kimojawapo...Na pia hakuna padre hanithi(ashakum si matusi)

Kwanini...?

Upadre ni Sadaka(Sacrifice)...yani unajitoa mzima mzima kama ulivyo....Yani si una-opt kuwa padre kwasababu wewe ni mlemavu, au wewe audi.n...d ndio unakimbilia upadre..upadre ni Sadaka iliyosafi..ni kujitoa..bila kujibakiza..

Wajuzi watajazia nyama
 
Nimuewahi muona mmoja hata asubuhi hii nimeonana naye. Though naye aliwahi nisimulia chamgamoto alizopitia mpaka hapo alipofika. Ni dhahiri kuna ubaguzi na mapokeo ya kipuuzi kuhusiana na ulemavu ktk utumishi huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuambiaje huyo alipata ulemavu akiwa padre na si kabla ya kuwa padre....

Yani Upadre si chaka la kukimbilia eti kwa kuwa upo unfitt kwenye jamii basi ukimbilie upadre..hiyo ndio maana ya kujitoa sadaka..
 
Ndio ni kigezo kimojawapo...Na pia hakuna padre hanithi(ashakum si matusi)

Kwanini...?

Upadre na Sadaka(Sacrifice)...yani unajitoa mzima mzima kama ulivyo....Yani si una-opt kuwa padre kwasababu wewe ni mlemavu, au wewe audi.n...d ndio unakimbilia upadre..upadre ni Sadaka iliyosafi..ni kujitoa..bila kujibakiza..

Wajuzi watajazia nyama

Ok. Ila Poa Tu hapo juu kadai kawahi kumuona. Ata asbh hii kamuona!!!
 
Hupaswi kumtolea mungu sadaka yenye mapungufu,ktk biblia hakuna mpakwa mafuta aliyekuwa kilema au mwehu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usikufuru.
Mbele ya Mungu, mapungufu yako ya kimwili sio issue kabisa. Mungu akikuchagua, hakuna wa kupinga. Yeyote yule anaweza kupakwa mafuta. Ni mungu mwenyewe anaamua.

Unamjua Musa wewe?
Nenda kamsome halafu utagundua alikuwa na ulemavu gani.
 
Kusali kwangu kote hapa duniani sijawahi kukutana na padre kilema. Au ni makanisa ninayo sali tuu? Je nikigezo kimojawapo cha kuwa Padre?
Ungekuwa mkatoliki nadhani swali la kitoto hivi usingeliuliza hapa. Upadre ni kujitoa kwa Mungu na huwezi kumtolea Mungu kitu chenye kasoro. Lazima uwe mkamilifu usie na mawaa ndipo unaweza kujitoa kumtumikia Mungu na kanisa kama kuhani(padre)
 
Back
Top Bottom