KING 360
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,002
- 5,177
Wakuu salaam kwenu,
Kama kichwa hapo juu kinavyojieleza.
Katika harusi zote nilizoshuhudia sijawahi ona bibi harusi mnene, wakati mtaani wamejaa wadada vibonge. Najiuliza hao walioolewa huwa wananenepa baada ya kuolewa, na je hawa wadada vibonge ambao bado hawajaolewa huwa hawaolewi
kwa kufanya harusi au wanafungaga ndoa zile za kimila ambazo watu huwa wanaoana kimya kimya au kuna mazoezi wanayofanya hadi kuwa wembamba.
Au vibonge huwa hawafanyiwi harusi au ni macho yangu mimi naonaga ni wembamba na wale saizi ya kati ambao sio wanene au wembamba nao ni wachache. Vipi kuhusu nyie wanajamvi huwa mnazishuhudia harusi za wanawake vibonge uko kwenu?