Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,413
- 55,986
Anachekesha sana huyu dada,nadhan wengine waliwekwa duniani ili tufurahi akipaka make uo ,na zike nguo zake mamamamamaaa
Anachekesha sana huyu dada,nadhan wengine waliwekwa duniani ili tufurahi akipaka make uo ,na zike nguo zake mamamamamaaa
Km mwehu vile huyu Dada maana hata kuandika hajui yaani namuoneaga huruma kweli
Anadanga tuHivi ana ishu gani huko China?
Umaarufu kaupata pata vipi huyu?Km mwehu vile huyu Dada maana hata kuandika hajui yaani namuoneaga huruma kweli
Mwandiko wake ni mchafu balaaIla wanazengo, katika wambea wa insta ambao siwaelewagi ni huyu Rachel dangwa, sijui shoga yetu hazimo kichwani, yani mambo yake jamani na vitu anavyopost insta utasema huyu hamnazo, mwenzenu huwa nachekaga kila siku nikiona sura yake, yani anajifanya anachamba kuchamba kwenyewe hajui.
Nasikia yuko china sijui Ndo beki tatu huko , nguo zake Sasa akivaa kama yondo sister , hajui kuvaa utadhani yupo tandale kwa mtogole, akianza kuongea Sasa anajikuta kim kardashian sauti analegeza , kuongea English yenyewe hajui khaa, ila nampenda bure Rachel wangu na uchiz wakeView attachment 1094197
Mwandiko wake ni mchafuAnafeli sana kwenye nguo,sijui ndio mitumba ya huko china
Mawigi anayovaa,makeup vyote ni mtihani
Wewe unamzidi nn?Ila wanazengo, katika wambea wa insta ambao siwaelewagi ni huyu Rachel dangwa, sijui shoga yetu hazimo kichwani, yani mambo yake jamani na vitu anavyopost insta utasema huyu hamnazo, mwenzenu huwa nachekaga kila siku nikiona sura yake, yani anajifanya anachamba kuchamba kwenyewe hajui.
Nasikia yuko china sijui Ndo beki tatu huko , nguo zake Sasa akivaa kama yondo sister , hajui kuvaa utadhani yupo tandale kwa mtogole, akianza kuongea Sasa anajikuta kim kardashian sauti analegeza , kuongea English yenyewe hajui khaa, ila nampenda bure Rachel wangu na uchiz wakeView attachment 1094197
Ila wanazengo, katika wambea wa insta ambao siwaelewagi ni huyu Rachel dangwa, sijui shoga yetu hazimo kichwani, yani mambo yake jamani na vitu anavyopost insta utasema huyu hamnazo, mwenzenu huwa nachekaga kila siku nikiona sura yake, yani anajifanya anachamba kuchamba kwenyewe hajui.
Nasikia yuko china sijui Ndo beki tatu huko , nguo zake Sasa akivaa kama yondo sister , hajui kuvaa utadhani yupo tandale kwa mtogole, akianza kuongea Sasa anajikuta kim kardashian sauti analegeza , kuongea English yenyewe hajui khaa, ila nampenda bure Rachel wangu na uchiz wakeView attachment 1094197
mambo ya wanakike tuwaachie wanakike wenyewe