Sijawahi kumuelewa Rachel Dangwa


warumi

warumi

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Messages
14,483
Points
2,000
warumi

warumi

JF-Expert Member
Joined May 6, 2013
14,483 2,000
Ila wanazengo, katika wambea wa insta ambao siwaelewagi ni huyu Rachel dangwa, sijui shoga yetu hazimo kichwani, yani mambo yake jamani na vitu anavyopost insta utasema huyu hamnazo, mwenzenu huwa nachekaga kila siku nikiona sura yake, yani anajifanya anachamba kuchamba kwenyewe hajui.

Nasikia yuko china sijui Ndo beki tatu huko , nguo zake Sasa akivaa kama yondo sister , hajui kuvaa utadhani yupo tandale kwa mtogole, akianza kuongea Sasa anajikuta kim kardashian sauti analegeza , kuongea English yenyewe hajui khaa, ila nampenda bure Rachel wangu na uchiz wake
img_6720-jpg.1094197
 
PROF NDUMILAKUWILI

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Messages
8,337
Points
2,000
PROF NDUMILAKUWILI

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2016
8,337 2,000
Anaumaarufu gani huyo?
 
mgt software

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
11,374
Points
2,000
mgt software

mgt software

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
11,374 2,000
Umaharufu wake anautafuta kwa kudandia story Kama djcarry au kwa kumtukana mange k. Naona huyu zwazwa Sana. Wiki hii aliamia kwa gwajiboy
 
Mama Sabrina

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Messages
16,808
Points
2,000
Mama Sabrina

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2016
16,808 2,000
Anachekesha sana huyu dada,nadhan wengine waliwekwa duniani ili tufurahi akipaka make uo ,na zike nguo zake mamamamamaaa
 
B

buhoro ksl

Senior Member
Joined
Apr 17, 2019
Messages
141
Points
250
B

buhoro ksl

Senior Member
Joined Apr 17, 2019
141 250
Ndoo Nani huyo wekeni picha tumuone jamani huyo mentel
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
39,348
Points
2,000
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
39,348 2,000
Waachie wachina wajilie utombo mkubwa huko bakta.
 

Forum statistics

Threads 1,295,402
Members 498,303
Posts 31,210,709
Top