God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,790
- 3,020
....
Kweli kabisaJisogeze karibu na maombi na ufunguliwe yawezekana una pepo la ugomvi na uchonganishi pole funguka uwekwe huru.
Naww umeachwa?!Kumbe tuko wengiii eh
Akishindwa kunipa mahitaji yangu muhimu mkuuu au nikimfumania maana hivi viwanawake ni vichafu sana.Huwa unakorofishana nao kuhusiana na nini? Uchepukaji?
Kwani kuna mschana mwenye boy mmoja kweli?Kama unao wengi alafu unagombana na mmojawapo wala hakuna tatizo
Tayari mkuuu ndo maana nimeleta huu uzi hapaMbona mwaka ndiyo unaishia sasa gift? Mmeshagombana au bado?
mkuu mimi sinaga habari za kipuuzi ila kama ni ugomvi nimejaaliwa mkuu. ila hata kama ni ugomvi kwanini tusigombane katikati ya mwaka huko au mwanzoni nakuja kugombana mwisho wa mwaka?Jisogeze karibu na maombi na ufunguliwe yawezekana una pepo la ugomvi na uchonganishi pole funguka uwekwe huru.
Niende wapi sasa?Kabla mwaka haujaisha we ondoka tuu
Nafurahi kwa kweli nimempata ndugu yangu.Kumbe tuko wengiii eh