Sijawahi kumaliza mwaka vizuri bila kuingia kwenye mgogoro na mwanamke.

Huwa unakorofishana nao kuhusiana na nini? Uchepukaji?
Akishindwa kunipa mahitaji yangu muhimu mkuuu au nikimfumania maana hivi viwanawake ni vichafu sana.
Kwa mujibu wa hiyo hali mimi natumia technique ya hit and run kama mazingira yanajieleza.
 
Jisogeze karibu na maombi na ufunguliwe yawezekana una pepo la ugomvi na uchonganishi pole funguka uwekwe huru.
mkuu mimi sinaga habari za kipuuzi ila kama ni ugomvi nimejaaliwa mkuu. ila hata kama ni ugomvi kwanini tusigombane katikati ya mwaka huko au mwanzoni nakuja kugombana mwisho wa mwaka?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom