Chief Kumbyambya
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 511
- 1,542
Wasalaaaam………!!!!!!
Nimekaa nimetafakari kisha nikagundua katika maisha yangu yote toka nimebalehe sijawahi kufanya mapenzi nikiwa sijalewa, wanawake wengi ninaotembea nao ni wale ma barmaid nawapenda sana barmeid unakuta ni bonge la dem na tena kawazidi viwango zile pisi ambazo zinajifanyaga zinaringa mtaani yani mpaka utongoze mwezi ndiyo anajifanya kukuelewa sasa mimi pigo hizo sizitaki….
Hivyo hali hiyo imepelekea mimi kufanya mapenzi baada ya kupiga mtungi na lazima nirudi geto na toto moja linamzigo utadhani wale kina mbise wa instagram…. Toto toto kweli mpaka majirani wanashangaa huyu jamaa anatoaga wapi hizi pisi kali namba hii kumbe ni bar tu.
Huwa nikiingia bar naagiza k-vant ndogo nachanganya na safari zangu kama nne hivi, Zigo nitakalolipata nalichukulia heineken bakket nzima huku tumeagiza kilo ya kitomoto (hapo kitimoto tunakula wote) nikifika nazidabua kwanza safari mbili ghafla kuupiga stata ubongo ili uweze kupepesa macho vizuri kwaajili ya kujitwalia zigo kali la kukaa nalo kwenye meza yangu tena lenye viwango vya posh queen( napenda sana maisha hayo) sihitaji kutongoza mtu miezi miwili utadhani naomba kazi eti kisa tu anivulie chupi hell no.
Na nikishapiga huo mchanganyiko wa safari na k-vant show yake sio ya kitoto…. Nishapiga mpaka threesome mara kibao na mademu wakali wa bar(maisha ndiyo haya haya bana, jipe raha duniani tunaishi maramoja tu).
Sasa wazee lifestyle hiyo imesababisha nigundue kuwa toka nimebalehe sijawahi kufanya mapenzi bila kunywa pombe(yaani sijawahi kula mzigo kwa demu nikiwa hivi macho makavu) nisije kujiona mimi ni mkali wa kupiga show kali kumbe ni support ya pombe maana nikipiga mitungi hata ikiwa ni threesome mademu wote wawili nawakamua vilivyo mpaka wenyewe ndiyo wanaomba poo.
Sasa wazee hii inaweza kuwa na madhara? Nataka nitafute mwanamke nimpige show ya mchana mchana nikiwa sijanywa pombe ya aina yoyote ile(yaani show ya macho makavu) ili kuupima uwezo wangu wa sex nikiwa niko sober.
Je kuna ambaye tunafanana katika hali hii au ni mimi tu!!!!!
Mods naomba mnirekebishie tittle hapo neno la mwisho isomeke Wandugu badala ya neno wandu.