Widowmaker
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 305
- 574
Kama huna mpango wa kwenda nchi za mbali ww endelea kupanda Yutong tu
Usafiri salama ni Pikipiki tu asikudanganye mtuUsafiri mzur ni ule wakuendesh mwenyew tu
Nenda hospital ukaone VILEMA ndio utajua huo Usafir wako salama wa PkpkUsafiri salama ni Pikipiki tu asikudanganye mtu
Wale walipigwa virungu na policcm wala siyo Pikipiki mkuuNenda hospital ukaone VILEMA ndio utajua huo Usafir wako salama wa Pkpk
Naona umeongea kinyume chakeUsafiri salama ni Pikipiki tu asikudanganye mtu
Yaani kama kuna bandiko lililowahi kunikuna roho basi hili ni miongoni mwaloWengi wanausifia sana usafiri wa ndege ,ila utabaki kuwa usafiri wenye risk kubwa ,na likidondoka kutoka uko juu chance ya kupona ni 0.00000001.
Siku nimechukia safari ya ndege ni mwaka jana fastjet dar to mza,kitu upepo ulipiga ,yaani nikaona lindege linashuka,ukisisikia kitu kinapiga chp na kurudi ndio hapo.Aisee uyu mgunduzi wa ndege atafutwe atumbuliwe.
Alafu zinavyopenda kuangukia baharini,ata ukipona unajikuta huwezi kuogelea unaamua kujifia mwenyewe.
Usafiri wa anga unabakia kuwa more reliable duniani.Wengi wanausifia sana usafiri wa ndege ,ila utabaki kuwa usafiri wenye risk kubwa ,na likidondoka kutoka uko juu chance ya kupona ni 0.00000001.
Siku nimechukia safari ya ndege ni mwaka jana fastjet dar to mza,kitu upepo ulipiga ,yaani nikaona lindege linashuka,ukisisikia kitu kinapiga chp na kurudi ndio hapo.Aisee uyu mgunduzi wa ndege atafutwe atumbuliwe.
Alafu zinavyopenda kuangukia baharini,ata ukipona unajikuta huwezi kuogelea unaamua kujifia mwenyewe.
Hata chance yakuanguka pia ni ndogoLakini chance ya kupona ni ndogo sana
Yaani kama kuna bandiko lililowahi kunikuna roho basi hili ni miongoni mwalo
Kama kuna kitu huwa sina amani nacho mwanzo mwisho basi ni huu usafiri wenu wa ndege
Nauita wenu kwasababu sijawahi kuenjoy tokea nimeujua
Ukisikia karaha ya msomi basi ndo hii ya kupandishwa mandege yaani sijui hata niwaeleze nini mnielewe kuna wakati huwa nakunywa mawine nalewa kabla sijapanda hilo dude arimradi kujifariji kwamba hata likidondika potelea mbali
Lakini wapi nikiingia ndani tu full kitete tenausiombe ukasafiri usiku yaani ni shida
Huwa naogopa naogopa naogopa
Mbaya zaidi mimi ni shabiki sana wa kuangalia u tune documentary za ajali za ndege na ugunduzi wa nini chanzo kiasi kwamba hata nikipanda huwa naweza jua kwamba airspeed ya ndege yetu iko safi au kuna shida
Mtikisiko wa air taburance uko kawaida au kuna shida
Mwisho tu niseme pamoja na kulipanda hilo dude mara kibao lakini sijawahi kuwa na amani nalo nikiwa juu
Mgunduzi wa ndege ATUMBULIWE KABISA NAUNGA HOJA MIA KWA MIA
Mshenzi sana[/QUOTE)
Alafu ata kwenye you tube kuna ajali nyingi sana za ndege zimewekwa,yaani ukitafuta ratio ya ajali za ndege:.idadi ya ndege ipo juu.
Kuna siku naingia kwenye ndege,nikiangalia msururu wa watu unadhani sokoni kariakoo,nikasema watu wote hawa dude alinynyuki,nilipanda tu kinyonge tu kwamba hakuna namna.
Ndege phobia lol poleh sanaYaani kama kuna bandiko lililowahi kunikuna roho basi hili ni miongoni mwalo
Kama kuna kitu huwa sina amani nacho mwanzo mwisho basi ni huu usafiri wenu wa ndege
Nauita wenu kwasababu sijawahi kuenjoy tokea nimeujua
Ukisikia karaha ya msomi basi ndo hii ya kupandishwa mandege yaani sijui hata niwaeleze nini mnielewe kuna wakati huwa nakunywa mawine nalewa kabla sijapanda hilo dude arimradi kujifariji kwamba hata likidondika potelea mbali
Lakini wapi nikiingia ndani tu full kitete tenausiombe ukasafiri usiku yaani ni shida
Huwa naogopa naogopa naogopa
Mbaya zaidi mimi ni shabiki sana wa kuangalia u tune documentary za ajali za ndege na ugunduzi wa nini chanzo kiasi kwamba hata nikipanda huwa naweza jua kwamba airspeed ya ndege yetu iko safi au kuna shida
Mtikisiko wa air taburance uko kawaida au kuna shida
Mwisho tu niseme pamoja na kulipanda hilo dude mara kibao lakini sijawahi kuwa na amani nalo nikiwa juu
Mgunduzi wa ndege ATUMBULIWE KABISA NAUNGA HOJA MIA KWA MIA
Mshenzi sana
Hongera kwa kupanda ndege kwa mara ya kwanza mkuuWengi wanausifia sana usafiri wa ndege ,ila utabaki kuwa usafiri wenye risk kubwa ,na likidondoka kutoka uko juu chance ya kupona ni 0.00000001.
Siku nimechukia safari ya ndege ni mwaka jana fastjet dar to mza,kitu upepo ulipiga ,yaani nikaona lindege linashuka,ukisisikia kitu kinapiga chp na kurudi ndio hapo.Aisee uyu mgunduzi wa ndege atafutwe atumbuliwe.
Alafu zinavyopenda kuangukia baharini,ata ukipona unajikuta huwezi kuogelea unaamua kujifia mwenyewe.
Sio mara ya kwanza,nimepanda ndege maranyingi lakini sijaweza kuikubaliHongera kwa kupanda ndege kwa mara ya kwanza mkuu
Teh mimi wananichekesha ma Pilot mfano ukiwa unatoka Dar kwenda Dubai huku kwingine wapo 35000ft na Cruising speed ya 300-400Kts ila wakifika hapo juu ya Somalia au Yemen ni wanapanda juu Altitude 39000-40000ft na Cruising speed 450-520Kts sijui huwa wanaogopa nini.Kati ya usafiri uliosafe duniani wa kwanza ni ndege, inafuata meli na gari ndo ya mwisho. Mm nikiwa nasafiri, hasa inernational huwa nalala fofofo kuliko ninavyolala nikiwa kwangu, hata nikipanda mwanza dar dk. 15-20 tu ndo huwa nipo macho zingine nauchapa. Wasiwasi wangu ni pale ninapovuka vile vinchi vinavyoishia na ......stan, somalia na zile za kufanana na hivyo nahofu kudunguliwa.ila turbalance sijui nn, labda iwe ile ambayo hadi rubani mavi yanagonga chupi.
AlshababTeh mimi wananichekesha ma Pilot mfano ukiwa unatoka Dar kwenda Dubai huku kwingine wapo 35000ft na Cruising speed ya 300-400Kts ila wakifika hapo juu ya Somalia au Yemen ni wanapanda juu Altitude 39000-40000ft na Cruising speed 450-520Kts sijui huwa wanaogopa nini.
Hahahahahah....Ni kweli mkuuNaona umeongea kinyume chake
Mkuu tumia Pikipiki ni salama zaidiYaani kama kuna bandiko lililowahi kunikuna roho basi hili ni miongoni mwalo
Kama kuna kitu huwa sina amani nacho mwanzo mwisho basi ni huu usafiri wenu wa ndege
Nauita wenu kwasababu sijawahi kuenjoy tokea nimeujua
Ukisikia karaha ya msomi basi ndo hii ya kupandishwa mandege yaani sijui hata niwaeleze nini mnielewe kuna wakati huwa nakunywa mawine nalewa kabla sijapanda hilo dude arimradi kujifariji kwamba hata likidondika potelea mbali
Lakini wapi nikiingia ndani tu full kitete tenausiombe ukasafiri usiku yaani ni shida
Huwa naogopa naogopa naogopa
Mbaya zaidi mimi ni shabiki sana wa kuangalia u tune documentary za ajali za ndege na ugunduzi wa nini chanzo kiasi kwamba hata nikipanda huwa naweza jua kwamba airspeed ya ndege yetu iko safi au kuna shida
Mtikisiko wa air taburance uko kawaida au kuna shida
Mwisho tu niseme pamoja na kulipanda hilo dude mara kibao lakini sijawahi kuwa na amani nalo nikiwa juu
Mgunduzi wa ndege ATUMBULIWE KABISA NAUNGA HOJA MIA KWA MIA
Mshenzi sana
Mkuu hebu nyama kidogo nimecheka sanaTeh mimi wananichekesha ma Pilot mfano ukiwa unatoka Dar kwenda Dubai huku kwingine wapo 35000ft na Cruising speed ya 300-400Kts ila wakifika hapo juu ya Somalia au Yemen ni wanapanda juu Altitude 39000-40000ft na Cruising speed 450-520Kts sijui huwa wanaogopa nini.
So what!