The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,915
- 120,872
Kuna yule mmiliki wa club ya Leicester city ya England, juzi tu hapa kaangalia gemu la team yake vizuri tu,baada ya gemu kapanda Helicopter yake ile kufika nje ya uwanja tu Helicopter ikaanguka na akafa!
Siku ikifika hata kama utasafiri kwa kutembea kwa miguu utakufa tu.
Siku ikifika hata kama utasafiri kwa kutembea kwa miguu utakufa tu.