Sijawahi kuamini usafiri wa ndege

Sijawahi kuamini usafiri wa ndege

Kwa domo zege kweli usafiri wa ndege sio safi. Dar to Mwanza 90 min. Huku ukitumia basi sio chini ya masaa 18. Nadhani hata kama hujui uanzie wapi atakuwa kachooka hadi kichwa kulala begani kwako. Akiamka unam-sepenga tu ka wemaa.
Lakini ndege, unangojea kusema; Hatujafika Chalinze kweli! Unaambiwa funga mkanda, ndege inatua Mza. Akitoka nje, Babake yule palee anamngojea
 
Wengi wanausifia sana usafiri wa ndege ,ila utabaki kuwa usafiri wenye risk kubwa ,na likidondoka kutoka uko juu chance ya kupona ni 0.00000001.
Siku nimechukia safari ya ndege ni mwaka jana fastjet dar to mza,kitu upepo ulipiga ,yaani nikaona lindege linashuka,ukisisikia kitu kinapiga chp na kurudi ndio hapo.Aisee uyu mgunduzi wa ndege atafutwe atumbuliwe.
Alafu zinavyopenda kuangukia baharini,ata ukipona unajikuta huwezi kuogelea unaamua kujifia mwenyewe.
Hiyo chance ya kupona pia ndo chance ya ndege kupata ajali. Ndo usafiri salama mkuu na ikitokea ajali jua siku zako ndo zilikuwa zimefika hivyo hata kama si hiyo ajali ungeweza kuanguka tu na kufa.
 
Kwa domo zege kweli usafiri wa ndege sio safi. Dar to Mwanza 90 min. Huku ukitumia basi sio chini ya masaa 18. Nadhani hata kama hujui uanzie wapi atakuwa kachooka hadi kichwa kulala begani kwako. Akiamka unam-sepenga tu ka wemaa.
Lakini ndege, unangojea kusema; Hatujafika Chalinze kweli! Unaambiwa funga mkanda, ndege inatua Mza. Akitoka nje, Babake yule palee anamngojea
Ni kweli unachosema,ila umesikia lion flight 610 ya uko indonesia ,imeruka dkk 13 likashuka ndani ya bahari watu 189 waripotiwa kufa.
 
Ni kweli unachosema,ila umesikia lion flight 610 ya uko indonesia ,imeruka dkk 13 likashuka ndani ya bahari watu 189 waripotiwa kufa.
Tukiacha mbali utani angalia statistics za ndege na gari
Yaani chance ya kufa kwa ajali ya gari ni kubwa kuliko ndege.
Hebu angalia hapa
20181030_201147.jpeg
20181030_201113.jpeg
 
Back
Top Bottom