Sijawahi kuamini usafiri wa ndege

Sijawahi kuamini usafiri wa ndege

Mkuu hebu nyama kidogo nimecheka sana
Iyo mitaa ya Somalia kuna wajasiriamali wanauwezo wa kutengeneza makombora ya kienyeji(local missile) yenye uwezo wa kufika futi 38,000 na kudungua ndege. Alafu magaidi wa uko wana tabia ya kudungua ndege yoyote ile bila sababu ya msingi.
 
Duh ni hatari kumbe wale jamaa ni noma
 
Ethiopian airlines sijui imeshuka au imedhushwa toka mawinguni ,usafiri huu hatari tupu
 
Iyo mitaa ya Somalia kuna wajasiriamali wanauwezo wa kutengeneza makombora ya kienyeji(local missile) yenye uwezo wa kufika futi 38,000 na kudungua ndege. Alafu magaidi wa uko wana tabia ya kudungua ndege yoyote ile bila sababu ya msingi.
Isije ikawa wasomali wamefanya yao kwa Ethiopian airline
 
Back
Top Bottom