Ila hakuna sehemu nimesema naogopa kufaMaisha yanaanza unapozaliwa hadi kifo ndo mwisho wa maisha,ukiogopa utakufa,usipoogopa utakufa,
Alafu awa wadau wa ungo wangepewa support kuendeleza teknolojia yaoUngo je?
Yaani utazani zimegongana ndege mbiliKunguru tu huyo View attachment 916692
Ila hakuna sehemu nimesema naogopa kufa
Hizi hesabu zenu za kulinganisha usafiri wa ndege na ardhi kwamba ndege zina ajali chache kulinganisha na magari ama vyombo vya aridhini huwa sizielewi hata kidogo....maana unapaswa kujua pia magari ni mengi kuliko ndege....kwa hivyo ajali zake lazima ziwe nyingi....Usafirin wa ndege ni salama zaidi. Chances za kupata ajali ni kiduchu mno as compared na safari za majini au nchi kavu
😀😀😀😀😀😀Huu ndio usafari wenye usalama kwa kiwango cha juu,kuliko usafiri wowote ule.
Man kuna kitu kinaitwa probability, number of sample spaces affect the probability of anything to occur,Usafirin wa ndege ni salama zaidi. Chances za kupata ajali ni kiduchu mno as compared na safari za majini au nchi kavu
Una point ya msingiHizi hesabu zenu za kulinganisha usafiri wa ndege na ardhi kwamba ndege zina ajali chache kulinganisha na magari ama vyombo vya aridhini huwa sizielewi hata kidogo....maana unapaswa kujua pia magari ni mengi kuliko ndege....kwa hivyo ajali zake lazima ziwe nyingi....
Kazi kweli kweliDa kazi ipo
Ni kweli unachosema,ila umesikia lion flight 610 ya uko indonesia ,imeruka dkk 13 likashuka ndani ya bahari watu 189 waripotiwa kufa.
Ni kweli unachosema,ila umesikia lion flight 610 ya uko indonesia ,imeruka dkk 13 likashuka ndani ya bahari watu 189 waripotiwa kufa.
Huo ndo usafiri salama na uhakika kuliko aina yoyote ya usafiriWengi wanausifia sana usafiri wa ndege ,ila utabaki kuwa usafiri wenye risk kubwa ,na likidondoka kutoka uko juu chance ya kupona ni 0.00000001.
Siku nimechukia safari ya ndege ni mwaka jana fastjet dar to mza,kitu upepo ulipiga ,yaani nikaona lindege linashuka,ukisisikia kitu kinapiga chp na kurudi ndio hapo.Aisee uyu mgunduzi wa ndege atafutwe atumbuliwe.
Alafu zinavyopenda kuangukia baharini,ata ukipona unajikuta huwezi kuogelea unaamua kujifia mwenyewe.
Mbona hua tunaona na kusikia wasafiri wa ungo wameanguka?Karibu kwenye usafiri wa Ungo