Kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu Tanzania, katika kipindi cha uchambuzi wa magazeti saa 6:30 RFA walikua hawasomi magazeti haya.
Tanzania daima
Mwananchi
Mtanzania
Baada ya kampeni kuisha wanayasoma..
Swali langu ni HILI walikua wanaogopa NINI?
Jamaa muongo sana wewe huoni aibu hiyo redio yako itakuwa machame fm.Kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu Tanzania, katika kipindi cha uchambuzi wa magazeti saa 6:30 RFA walikua hawasomi magazeti haya.
Tanzania daima
Mwananchi
Mtanzania
Baada ya kampeni kuisha wanayasoma..
Swali langu ni HILI walikua wanaogopa NINI?
Lakini utawasoma hata kimoyo moyo tu.hawa nimeshawasahau kama wapo
Walikuwa wanakwepa kusoma habari za uongo
Kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu Tanzania, katika kipindi cha uchambuzi wa magazeti saa 6:30 RFA walikua hawasomi magazeti haya.
Tanzania daima
Mwananchi
Mtanzania
Baada ya kampeni kuisha wanayasoma..
Swali langu ni HILI walikua wanaogopa NINI?
Mmiliki wa hiyo Tv ni mshamba mshamba sana anadhani kwa kujipendekeza atapewa ulaji not this time amuulize aliyekuwa waziri 🏡

Mshamba ni yule anayeoa wajukuu zake badala ya kuwalea....ni yule anayechukia kuitwa babu akihitaji ujana eti aitwe Braza Machache...so shame aibikeni
Kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu Tanzania, katika kipindi cha uchambuzi wa magazeti saa 6:30 RFA walikua hawasomi magazeti haya.
Tanzania daima
Mwananchi
Mtanzania
Baada ya kampeni kuisha wanayasoma..
Swali langu ni HILI walikua wanaogopa NINI?
Radio ya mwanachama wa ccm hiyo
Kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu Tanzania, katika kipindi cha uchambuzi wa magazeti saa 6:30 RFA walikua hawasomi magazeti haya.
Tanzania daima
Mwananchi
Mtanzania
Baada ya kampeni kuisha wanayasoma..
Swali langu ni HILI walikua wanaogopa NINI?
Jamaa muongo sana wewe huoni aibu hiyo redio yako itakuwa machame fm.