Sijawaelewa nhif na tangazo lao la interview,,,! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sijawaelewa nhif na tangazo lao la interview,,,!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by MR.LEO, Aug 9, 2012.

 1. M

  MR.LEO Senior Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 129
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani,naombeni ufafanuzi wa tangazo la interview za NHIF la tarehe 8 juzi.
  Wametoa ratiba na venue za interview bila kutoa shortlist ya majina!
  SASA MIMI NITAJUAJE NA HUKU ZIMEBAKI SIKU CHACHE,,?
  Na kuna haja gani ya kueleza vigezo vinavyomzuia mtu asiende kwenye interview wakati barua za maombi wanazo,,,?
  Naombeni ufafanuzi kwa wenye uelewa jaman!
   
 2. Da Pretty

  Da Pretty JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 3,050
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Kama unajijua uliomba wewe beba vyeti vyako nenda.
  Mengine yatajulikanaga hukohuko.
  Wanadhani mtu anafanya application moja kwa mwezi hadi akumbuke hiyo barua yake ilikua na nini au ilikosa nini?
  Jiamini, nenda ila kwa walio nje ya Dar ni mtihani mgumu.
   
 3. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  nenda tu ndugu kwenye hiyo interview wakizingua faitia hata jwtz,polic,magereza utapata
   
 4. M

  MR.LEO Senior Member

  #4
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 129
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
   
 5. Blood Hurricane

  Blood Hurricane JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 1,151
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Kama ni hivyo basi bongo imevaa bukta..
   
 6. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  uyui panda nbs au treni au hamia dsm kama una ndugu ili kupunguza gharama ya kusafiri marakwamara
   
 7. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Hawa NHIF naona hawana HR kabsa,kwanini wanashindwa kufanya kazi zao??? au ndo ufisadi wao wa ajabu??Najuta sana kukatwa pesa zangu kwenda huku. Nadhani kwenye katiba mpya tuweke maoni yetu kwamba kuchangia kwenye hii mifuko kuwe kwa hiari na sio lazima kama sasa.
   
 8. Man Ngosha

  Man Ngosha Senior Member

  #8
  Aug 10, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  mi nadhan ingekuwa vyema kama wangetoa shortlist ya watu watakaofanya hiyo interview na si kuwaita wote walioapply,huu ni uzembe mkubwa sana!!!!!
   
 9. Zanta

  Zanta JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 2,017
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Wakitoa shirt list mnasema kujuana, haya wamewaita wote vile vile hamtaki wabongo bwana
   
 10. S

  Shuju Member

  #10
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jaman hyo n kasheshe wadau sasa c utajutia mara ufikapo na kurudishwa jaman msaada
   
 11. c

  cielo Senior Member

  #11
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yale yalee ya nssf, ssra, pssf ... Kama upo mbali thnk twice !
   
 12. m

  markj JF-Expert Member

  #12
  Aug 11, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  samahani mkuu! kwani nssf,ssra na pssf ilikuwaje? mana na mimi nataka kwenda kufanya interview ila niko mbali
   
 13. P

  Paul S.S Verified User

  #13
  Aug 11, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Dah angalau leo nimetabasamu kwa kwa bandiko lako mkuu
   
 14. c

  cielo Senior Member

  #14
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we nenda kajaribu hawa wanaweza kuwa fair, huwez jua. Ila nssf waliita watu weng ila walopata kaz hata interview hawakufanya.
   
 15. b

  bathrum Member

  #15
  Aug 12, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  hii kali usafiri kutoka kigomakwa ajiri ya usaili kati tayari wanawatu wao, polen wapendwa,
   
 16. m

  markj JF-Expert Member

  #16
  Aug 12, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  mkuu! mbona mimi nana jamaa zangu wamepata nssf! na walifanya interview tena mbili, written na oral ila wao nasikia walichukuwa watu kama 147 nadhani, ila wa kuchakachua lazima walikuwepo, sasa sijui huku nhif mana walioomba wengi wanaohitajika kulingana na tangazo la kazi hawazidi 30 nadhani hapa ndo kutakuwa na kuchakachuliwa 100% mana itaishia written interview tu. afu wahusika wataingia zao kazini, we acha tu! sisi wa huku mbali tunajifikiria kufunga safari kuja huko
   
 17. m

  markj JF-Expert Member

  #17
  Aug 12, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  mkuu watu kama 10000 kwa hesabu la tangazo na ninauhakika wamepunguza idadi ya walioomba kwa kukadiria tu hizo namba! alafu wanaohitajika mkuu hata 30 nadhani hawazidi, sasa huu si mtihani kwelikweli mkuu! yani hapo inamaana wale walioshikwa mkono arua zao ziko tayari! watafanya watu interview afu wale wahusika wataitwa baada ya wiki mbili tatu kuanza mzigo, mie ngoja nibaki tu huku namtumbo
   
Loading...