mkuuwakaya
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 1,196
- 1,627
Kichwa kigumu. Polepole anaitaka CCM irejee kwenye utaratibu wa mtu kuchukua form ya kuomba nafasi ya urais na sio ujanja ujanja uliofanyika wa kukabia juu. Yaan fumba fumbua mgombea kapitia mlango wa jikoni kashakuwa mgombea tayariNimeangalia kwa umakini sana, Ila sijaridhishwa kabisa na mkutano wake.
Mimi sio mwanasiasa ila sijajua point yake kubwa ya kufanya vile ni nini?
Hana mpangilio na anachozungumza, ni kama alikuwa anatoa kinyongo. What was the point? Kisha mwisho maamuzi yake ni nini?
Aliyeelewa anipe anieleweshe.
Hajasema mwenye nyumba "kasafiri" kasema haina mwenyewe maana yake kila mtu anafanya anachojisikia kwenye hiyo nyumba angekuwa kasafiri basi wanachofanya walau wangefanya kwa hofu maana wanajua ipo siku atarudi ila si hivyo ni kuwa hayupo.Mwenyewe kasafiri
Huwa mnatoka kusikojulikana na kuja hapa kuleta mambo ya uzushi. Lini Polepole aliwahi kupelekwa Burundi. Halafu Burundi mnakupenda kweli....lifichwa mbali Burundi mara Cuba kwahiyo ndio ana heal hapo
CHADEMA imeshtakiwa kwa kukiuka utaratibu na kufungiwa siasa, angeenda mbali kuishtaki CCM ingekaa sawaKichwa kigumu. Polepole anaitaka CCM irejee kwenye utaratibu wa mtu kuchukua form ya kuomba nafasi ya urais na sio ujanja ujanja uliofanyika wa kukabia juu. Yaan fumba fumbua mgombea kapitia mlango wa jikoni kashakuwa mgombea tayari
Malawi na Burundi ni Kama Bongo na DarHuwa mnatoka kusikojulikana na kuja hapa kuleta mambo ya uzushi. Lini Polepole aliwahi kupelekwa Burundi. Halafu Burundi mnakupenda kweli.
Aisee... Naona umeamua kujilipua😳Malawi na Burundi ni Kama Bongo na Dar
Pengine angenitumia sura nyingine kuzungumzia Utekaji, lakini si Pole pole, kwani yeye alikuwa sehemu ya Utekaji 2015 - 2020. Tena kateka nakuuwa wengi sanaNimeangalia kwa umakini sana, Ila sijaridhishwa kabisa na mkutano wake.
Mimi sio mwanasiasa ila sijajua point yake kubwa ya kufanya vile ni nini?
Hana mpangilio na anachozungumza, ni kama alikuwa anatoa kinyongo. What was the point? Kisha mwisho maamuzi yake ni nini?
Aliyeelewa anipe anieleweshe.
Nimeangalia kwa umakini sana, Ila sijaridhishwa kabisa na mkutano wake.
Mimi sio mwanasiasa ila sijajua point yake kubwa ya kufanya vile ni nini?
Hana mpangilio na anachozungumza, ni kama alikuwa anatoa kinyongo. What was the point? Kisha mwisho maamuzi yake ni nini?
Aliyeelewa anipe anieleweshe.
Rudi shule bro,kama chawa wanaandika Notice ili wamjibu pole pole wewe hujaelewa kitu😂😂Nimeangalia kwa umakini sana, Ila sijaridhishwa kabisa na mkutano wake.
Mimi sio mwanasiasa ila sijajua point yake kubwa ya kufanya vile ni nini?
Hana mpangilio na anachozungumza, ni kama alikuwa anatoa kinyongo. What was the point? Kisha mwisho maamuzi yake ni nini?
Aliyeelewa anipe anieleweshe.
Kwa hiyo amejiuzulu ubalozi kwa ajili hiyo?Kichwa kigumu. Polepole anaitaka CCM irejee kwenye utaratibu wa mtu kuchukua form ya kuomba nafasi ya urais na sio ujanja ujanja uliofanyika wa kukabia juu. Yaan fumba fumbua mgombea kapitia mlango wa jikoni kashakuwa mgombea tayari
NdioKwa hiyo amejiuzulu ubalozi kwa ajili hiyo?
Kwakuwa umelala,ama unaoupande uliouchagua tofauti na wakwake na upande wa eazalendo wa taifa hili.Nimeangalia kwa umakini sana, Ila sijaridhishwa kabisa na mkutano wake.