mkuuwakaya
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 1,195
- 1,626
Kichwa kigumu. Polepole anaitaka CCM irejee kwenye utaratibu wa mtu kuchukua form ya kuomba nafasi ya urais na sio ujanja ujanja uliofanyika wa kukabia juu. Yaan fumba fumbua mgombea kapitia mlango wa jikoni kashakuwa mgombea tayariNimeangalia kwa umakini sana, Ila sijaridhishwa kabisa na mkutano wake.
Mimi sio mwanasiasa ila sijajua point yake kubwa ya kufanya vile ni nini?
Hana mpangilio na anachozungumza, ni kama alikuwa anatoa kinyongo. What was the point? Kisha mwisho maamuzi yake ni nini?
Aliyeelewa anipe anieleweshe.