Sijaridhishwa na mkutano wa Comrade Polepole

Gily Gru

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
9,078
Reaction score
25,040
Nimeangalia kwa umakini sana, Ila sijaridhishwa kabisa na mkutano wake.

Mimi sio mwanasiasa ila sijajua point yake kubwa ya kufanya vile ni nini?

Hana mpangilio na anachozungumza, ni kama alikuwa anatoa kinyongo. What was the point? Kisha mwisho maamuzi yake ni nini?

Aliyeelewa anipe anieleweshe.
 
hakutaka kumtaja mhusika mkuu wa ushenzi/uhuni aliouongelea.
 
Sasa akurudhishe we nani? Ukiona hivyo maana yake haukua mlengwa wala hayakuhusu relax tu mkuu, fanya yako tu dunia kubwa hii huwezi kukosa cha kufanya☸️
 
Chawa mna tabu, mmebanwa kwa hoja inabidi kutapa tapa tu watoto wanakutegemea bhn ebooh
 
Nimeangalia kwa umakini sana, Ila sijaridhishwa kabisa na mkutano wake.

Mimi sio mwanasiasa ila sijajua point yake kubwa ya kufanya vile ni nini?

Hana mpangilio na anachozungumza, ni kama alikuwa anatoa kinyongo. What was the point? Kisha mwisho maamuzi yake ni nini?

Aliyeelewa anipe anieleweshe.
Mbumbumbu kama wewe utaelewaje?Sisi wenye akili tumemwelewa sana.
 
hakutaka kumtaja mhusika mkuu wa ushenzi/uhuni aliouongelea.
Ndio nachouliza

Kazungumzia ukiukwaji wa kanuni za chama then what?

Sio wa kwanza kuzumgumz

Nilidhan angeenda kufungua kesi mahakamani. Chama cha mapinduzi kufungiwe kufanya siasa

Hapo ningeona msingi wake ila kuzungumza then what?

Wewe umeelewa hawa walio comment juu elimu yao ndogo sana mapunguani
 
Back
Top Bottom