Sijapaona pakutia vocha

Sijapaona pakutia vocha

Isalia

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
1,211
Reaction score
435
Kunajamaa anatoka mbali sana na mji akaja kutembea mjini mwenyeji wake akanunua vocha na kumpa amtilie kwenye cm yeye akishughulika na mambo mengine baada ya muda anarudishiwa cm na vocha na kuambia cjaona tundu ya kulia hichi kikaratac chako
 
Asilaumiwe,hata mtihani una-instructions.
 
Teh kwa mazingira alikotoka ni sawa kulikosa tundu hii sio ya kujua by nature km nanii...hii lazma ufundishwe.
 
Back
Top Bottom