Sijaona raha ya kuwa single

Kaka kichwa kidogo akizingua dawa yake makofi laini tu.. sisi ma single wazoefu tuna enjoy life kwa dizaini hiyo, fanya kuchukua kadi ya chaputa kwenye tawi lililo karibu na maeneo yako.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nakuvua vyeoooo
 
Hahahaa mkuu et kama mnyama porii[emoji3] [emoji3] [emoji3] .
 
Kaka kichwa kidogo akizingua dawa yake makofi laini tu.. sisi ma single wazoefu tuna enjoy life kwa dizaini hiyo, fanya kuchukua kadi ya chaputa kwenye tawi lililo karibu na maeneo yako.
Mkuu Kadi nimeirudisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…