Sijaona Mzee mwenye mkongojo Mlimani City kwenye Mkutano wa rais Samia

Standards Person

JF-Expert Member
Apr 22, 2021
673
859
Wanajukwaa wasioelewa mkongojo ni fimbo au kifaa chochote anachotumia mtu(mara nyingi wazee)kuwasaidia wakati wa kutembea. Lengo nikusaidia mtumiaji atembee bila shida yoyote.

Katika mkutano uliofanyika leo Mlimani City kati ya wazee wa Daresalaam na Mh. Rais mama yetu Samia Suluhu Hassan,nilitarajia kuona mikongojo mingi pale lakini haikua hivyo.
Nimegundua kwamba wazee wengi aidha hawapo DSM, wamerudi vijijini,wamependwa zaidi na maulana au vyovyote vile.

Lakini kwa wazee waliofika kumsikiliza Mh. Rais niwapongeze Ila zaidi ninampongeza sana sana Mama yetu kwa hotuba ya kuleta matumaini kwa wazee na taifa kwaujumla.
Ingawaje RC alionekana kuleta sura ya kisiasa lakini Mh. Rais hakufanya kama u ccm nihoja sana pale ndani. Hongera sana mama

Mama nakwambia hiviiiiii,kazi iendelee
 
Hakuna hata vizibao
 
IMG-20210508-WA0064.jpg
 
Aboubakar Kunenge aliropoka kuwa huu mkutano umeandaliwa na kamati za wazee wa CCM. Ikabidi Gerson Msigwa alimetee kimemo akanushe ila akagoma. Nadhani nafsi ilimsuta, ni vigumu kudanganya ukiwa kwenye swaumu.
 
Back
Top Bottom