Sijaona mkare (4 girls)

JF bwana. Ni kipi kimewafanya muamini kuwa hiyo ni picha yake??? Anyway hata kama ni yake ni ngumu kwa TZ kusema umri wa mtu kwa kuangalia sura. Kwa hiyo si haki kusema kuwa hasemi ukweli. Nakutakia kila la heri ila nadhani members wengi humu wako above your age hivyo yaweza kuwa shida kidogo kupata wa umri wako.
kasema mwenyewe .. huyu seerious anayaka demu si unaona hadi kaacha namba hapo? ww unawezaaaa?
 
hayo yote mlio sema ni sawa , Lizzy nimeweka picha sababu hata fcbk ni mtandao wa kijamii ila nimeweka picha zangu then am na sioni aibu mtu yoyote kujua kwamba natafuta mchumba sabau its my life , ilo suala la umri nimesema am aged 23 full stop na basi.na acheni kuwa wawekea watu mentality za baa. kama una nia ni suala la kupiga simu then 2nadait na kama ukinona nafanana na babu yako basi u knw wht to do coz i did not say nataka blinded person ambaye hawezi kuona how i look like.
 
mwaNe wani hapo kwenye mstari umewachana mle mleee
sasa jah kuna huyu dada hapo chini na yeye anaomba picha yako.. piga basi umuwekee hapa huwezi jua labda ndio zali la mentali lenyewe hili.

wew mkaka ni mzuri kweli nimekupenda sasa kama vipi niwekee picha yako moja ukiwa mtupu.. badae nitakupa namba yangu!
 
I hope weww pia unavigezo hivyo,mana uctake kufanyiwa vitu ambavyo wewe huwezi mfanyia mwenzio
 
kwa 23yrs kwa mwanaume bado ni mdogo..jiendeleze kimasomo/kikazi then ndiyo ufikirie haya mambo dogo.
 
Back
Top Bottom