Sijaona mkare (4 girls)

Kwanza umesema watu ambao wako serious hawatafuti wenza mtandaoni ila na wewe umeunga tela na kutafuta...mpaka hapo nasena wewe sio MAKINI.

Then ukasema VINAVYOPENDWA sana ndivyo vichukiwavyo zaidi...kwahiyo wewe unapendwa sana?!Sasa mbona huko kupendwa kote bado hujapata kitu?!

Tatu mtu kakuingiza chaka uweke picha yako JF na wewe ukaweka utadhani aliyekwambia amewahi kuweka yake au anatarajia...mpaka hapo nasema wewe SIO MJANJA.

Sasa mbona wewe sio MKAREE?!Iweje utake wakare?!Na mtoto wa miaka 17 unataka kumpeleka wapi?!
Lizzy sijasema napendwa sana , bali nilisema vinavyo pendwa sana (mapenzi).
 
JF bwana. Ni kipi kimewafanya muamini kuwa hiyo ni picha yake??? Anyway hata kama ni yake ni ngumu kwa TZ kusema umri wa mtu kwa kuangalia sura. Kwa hiyo si haki kusema kuwa hasemi ukweli. Nakutakia kila la heri ila nadhani members wengi humu wako above your age hivyo yaweza kuwa shida kidogo kupata wa umri wako.
kwa anaye dought picha kuwa ni yakwangu ama siyo ya kwangu ani pm kisha nitampatia jina la anuani yangu ya facebook.
 
Nenda facebook kaka; mbona unahangaika hapa na invinsible friends? utapata mke mwanaume shauri zako
1st i want to meat sm1 i never knw 2nd fb kuna drama sana 3rd JF watu wake wako focused kuliko wa fb.
 
I hope weww pia unavigezo hivyo,mana uctake kufanyiwa vitu ambavyo wewe huwezi mfanyia mwenzio
I am wht I am looking 4 , ingawaje siwezi sema kuwa niko hiv au vile bali wanao nifahamu ndo frm them u can get complet story of me. na kama kuna mrembo anania akutane na mimi then akutane na family + friends ili waweze kumueleza mie ni mtu wa aina gani nikiwa sipo nitakuwa tayari kwa hilo.
 
U seem very serious n a fighter! Goodluck, toa more info like dini, elimu n say what is ur plan for the next 20 yrs; who do u want to be, God willingly mabinti watakucontact; l am very positive!
 
Huyu jamaa kapotea, analeta mambo ya twiter humu forum duh! Kaka nenda tabora utapata wako!
nime elewa mkubwa, lakini kwa nini hatuthamini vya nyumbani (JF) tnatukuza vya wazungu (FB+Twt) , sababu twiter ,fb and JF yote ni mitandao ya kija mii .sasa mie kujamiana ndani ya jamii forumu nimepotea. I take it as a complement coz ndio maana nipo hapa natafuta mrembo wa kunionyesha njia kama sio kuniongoza kama musa na wana wa israel ndani ya jangwa.
 
Unakasoro gani unataka Mvumilivu?

Duh nanoti namba zako nikizikuta kwenye simu za wadogo zangu nitakuchapa...lol
 
Huyu jamaa kapotea, analeta mambo ya twiter humu forum duh! Kaka nenda tabora utapata wako!


Gagurito
Kama haya ni mambo ya twitter, then what is the point of the "love connect" forum? Why are you raining on someone else's parade!?

B.O.G
Let no one tell you any different, hujafanya kosa lolote nor kuingizwa mjini like said on some comments above. Instead you have been open, forth coming, and confident, all positive qualities of a man if you ask me. Very a few can dare show their real self let alone post a picture............................. so goodluck and kudos my friend
 
U seem very serious n a fighter! Goodluck, toa more info like dini, elimu n say what is ur plan for the next 20 yrs; who do u want to be, God willingly mabinti watakucontact; l am very positive!
(sitafuti dini bali natafuta binti ) wazazi wangu ni cristians but i bilive in muslim faith sababu nilikulia ujombani with musilims thats why i have christian names. but honestly am not religiously person ingawa i belive in God. I do repect and love all members of the societies no matter what they belive in because what binds us is greater than what makes us apart. I do not have a collage degree but I am leaving by doing what i love to do and i am happy with that.also i do like enterprenuarship bt nw sitaki kufanya vitu viko nje ya carrier yangu sababu most people thay never get grait at anything coz they keep doing alot of things at once. After 20 years naomaba mungu anibariki niwe na big happy family.(Amen)
 
mkuu siku ya gharusi uckonde kuaj kuomba michango hapa tutakkuchangia

sharobaro at work,punguza pombe Ivuga
1.well nimesha wahi kuwa na demu + mademu na nilitongoza mwenyewe. tatizo lao wanakuwa shortcyted people and worstly they dont love me but they love wht i have.
2. nimesha fanya tendo la ndoa and its quet interesting ( i do love sex), last time i had it was lat year and it was safe sex. but this year not yet coz nw am honest with myself and i wan be like what I am looking 4, i even had a house girls at difrent time ila sikufanya nao chochote maana makubalino yalikuwa ni wanisaidie kazi and i did nt want to take advantage, then they quet the job.
3. mie ni mwanamziki ila sio msanii wakuimba bt kwa kuwa napenda mziki siku za usoni naweza kupata coach then nikaanza.
4. nimefurahi kufanna na marehemu , ila sina undungu naye ingawa ni kweli kwamba mashavu yangu yanafanana na ya babu yangu.
5.Suala la miaka ni kwamab hiyo 23 ndo miaka yangu , kwenye picha naonekana aged kidogo kuliko ukiniona kwa macho, nimeanza darasa la kwanza 1997. baada ya elimino.

Nashukuru kwa maswali yako

mkuu unataka mke au "demu"?
nini maana ya demu/mademu?
mara ya mwisho kupima VVU ilikua lini?
we ni muongo bona me naskia hiyo tendo ya ndoa sio nzuri na inaua?

unanishaurije me ambae sijwahi pata binti wa kufanya nae na naogopa kuoa au kutongoza?
umeanza darasa la kwanza 1997?
umesoma lini,ukamaliza lini,ukapata kazi lini "kwa taaluma yako"?

mimi nimeanza darasa la kwanza mwaka 1982 na hadi leo bado nasoma sijapata kazi,nifanyeje
niwe kama wewe?
 
(sitafuti dini bali natafuta binti ) wazazi wangu ni cristians but i bilive in muslim faith sababu nilikulia ujombani with musilims thats why i have christian names. but honestly am not religiously person ingawa i belive in God. I do repect and love all members of the societies no matter what they belive in because what binds us is greater than what makes us apart. I do not have a collage degree but I am leaving by doing what i love to do and i am happy with that.also i do like enterprenuarship bt nw sitaki kufanya vitu viko nje ya carrier yangu sababu most people thay never get grait at anything coz they keep doing alot of things at once. After 20 years naomaba mungu anibariki niwe na big happy family.(Amen)

Mh,mheshimiwa ukichanganya mwanga na giza unapata nini?
choose one,either be hot or be cold in your faith,....
with God,he treats lukewarm people as cold faithed
 
sharobaro at work,punguza pombe Ivuga


mkuu unataka mke au "demu"?
nini maana ya demu/mademu?
mara ya mwisho kupima VVU ilikua lini?
we ni muongo bona me naskia hiyo tendo ya ndoa sio nzuri na inaua?

unanishaurije me ambae sijwahi pata binti wa kufanya nae na naogopa kuoa au kutongoza?
umeanza darasa la kwanza 1997?
umesoma lini,ukamaliza lini,ukapata kazi lini "kwa taaluma yako"?

mimi nimeanza darasa la kwanza mwaka 1982 na hadi leo bado nasoma sijapata kazi,nifanyeje
niwe kama wewe?
in short nataka ufahamu kuwa co watu wote tunaishi kwa kula mkate.
 
in short nataka ufahamu kuwa co watu wote tunaishi kwa kula mkate.

yeah,mwenyewe silagi mkate,..
chakula changu ugari wa mtama,viazi,makande,dagaa wa ziwa victoria na maindi ya kuchoma,...
We unakula nini?
 
yeah,mwenyewe silagi mkate,..chakula changu ugari wa mtama,viazi,makande,dagaa wa ziwa victoria na maindi ya kuchoma,...We unakula nini?
hahhahaha!! We mtu wangu acha usharobaro.. Unatuzuga tu hapa aisee.. Mikate ya kishua usile wewe?.. Wengine tunapiga mihogo tu
 
NASHUKURU JAMIIFORUM na WEWE kwa kusoma.
(0653929491) OR O612929491

Brother B.O.G, graciously accept my critism as positive compliments and move on. It is all about character and personality greater than outside appearances. Picha yako si mali kitu kama afya yako iko powa, hata Dr, Remmy aliimba yeye ni mbaya na akapata mke.

Firstly, please note your writing depicts your character and thoughts - Jinsi ulivyoandika kimikato, na lugha mbovu, Sidhani kama nitamruhusu dada yangu akusogelee na pia nitamkubalia dada yangu kama atasema wewe ni sharobaro au msela asiye na mbele wala nyuma. Kama unatafuta mwenza wa kweli andika kwa lugha unayoilewa na kwa ufasaha.

Eti, unasema unamatarajio ya familia bora baada ya miaka 20..Hapa nakusoma hujajiandaa wala kujua unataka nini. Kama umefanikiwa kumchukua dada yangu na kumpa ujauzito baada ya mwaka mmoja..yaani mimi niangaike kulea wajomba zangu kwa miaka 19 wakati wanakusubiri wewe u-settle.. Are you serious??

Kama uko serious..weka maisha yako hapa..matarajio yako..Elimu yako si tatizo kwani ni issue ya Taifa ..lakini weka unatajia kufanya nini kwa elimu ya watoto wako.. Picha si issue kwani maisha siyo sura lakini waweza weka picha zaidi ya moja kuelezea maisha yako..sio unatuwekea picha ya mmarekani sharobaro wa kijiweni uwanja wa fisi..Manzese..

Umri.. na Ndoa.. Kumbuka ndoa ni longterm commitment na siyo lele mama. Kina dada wengi JF wana upeo mkubwa wa kufikiri tena kukuzidi wewe .. kwani wanasoma kila siku matatizo na mahusiano hivyo si rahisi kudanganyika.. Hivyo unapokurupuka na kutoa hoja yako jaribu kuwa mwangalifu kwani uwezekano wengi wamekuzidi upeo wa kufikiri na hivyo wanahitaji CV ya nguvu katika kujieleza. Kwa style ulioonyesha unaweza kupata vicheche tu..

Last but not least'..soma na tafakari quotes hizi mbili
  • Let the world know you as you are, not as you think you should be, because sooner or later, if you are posing, you will forget the pose, and then where are you? ~by Fanny Brice
  • You must have control of the authorship of your own destiny. The pen that writes your life story must be held in your own hand. ~by Irene C. Kassorla
 
Back
Top Bottom