Sijaona mkare (4 girls) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sijaona mkare (4 girls)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by B.O.G, Jul 24, 2011.

 1. B.O.G

  B.O.G Senior Member

  #1
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa kawaida amtu ambaye yuko serious hatakiwi kutafuta mwenza kupitia mitandao, ila ina nibidi kufanya hivyo kwa kuwa ni tatizo na ninajaribu kulitafutia ufumbuzi . (kuhusu mimi) nina miaka 23, naishi dar , nimeajiliwa katika taaluma yangu, ni mrefu na mwembamba, mkweli , halisi , siyo rahisi kueleweka (complicated) ila kama ni mvumilivu na u give things time then utakuwa umepata bestfriend. ni mepanga na najitegemea . vingine siwezi kusema sababu ni vitu ambavyo unatakiwa uvione mwenyewe na unyambie kuwa mimi ni..................

  (Mtu ambaye natafuta) uwe unajitambua , mvumilivu , asiwe mvutaji au mnywaji pombe , uwena upendo , ushold be urself , u alwasya need less , hardworker, huru , mwaminifu , sio mbaya pia kama unaweza kutabasamu . umri natarajia miaka 17 mpaka 23.
  mengine ntakufahamisha pindi tutapo wasiliana.

  samahanini wote ambao mmechukizwa na tangazo langu, maana ni wazi kwamaba vitu vipendwavo zaidi ndivyo pia vinachukiwa sana. NASHUKURU JAMIIFORUM na WEWE kwa kusoma.
  (0653929491) OR O612929491

  I don't need 2 much , just sm1 to love me 4me !!!!!!
   
 2. pumbatupu

  pumbatupu JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Watumie picha yako..maana watoto wa kike wanapenda 'sura'...
   
 3. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Haya wana JF mambo yako uwanjani mwenye sifa hizo number za simu ndio hizo muanze Urafiki.
   
 4. B.O.G

  B.O.G Senior Member

  #4
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hi ndo picha yangu
   

  Attached Files:

 5. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Hivi wabongo tutaacha lini kusema uongo? Mkuu B.O.G umesema una miaka 23 lakini navyokuona mkuu yawezekana uko kwenye 29 au 30 hivi!! naomba ufafanuzi kidogo kuhusu umri wako kiukweli, kabla sijakuunganisha na dada yangu, yeye anazo sifa zote ulizosema na za ziada siwezi kuzisema.
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Kwa jins ulivokomaa,cdhan ka utampata huyo mkare..
   
 7. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mkubwa hio picha ulipigia dar? Umeji cover kama unapanda mlima kilimanjaro? Au ni swagger za hip hop?
   
 8. by default

  by default JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  labda jamaa nimchezaji kwasababu weng wa wachezaj wa kibongo graph yao ya age inaweza kubadilika au amekulia kijijin ameshka jembe sana
   
 9. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #9
  Jul 24, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Kila lakheri mkuu....
  Ila hiyo miaka pandisha kidogo.
  miaka 18 .....
   
 10. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  no,inabid aidouble hyo miaka ndo 2tapata umri wake sahihi..
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Jul 24, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,901
  Trophy Points: 280
  Hahahhah JF naipenda sana...mtu katoka huko kaja kichwa kichwa kaandika hivi ......
  hahah pumbatupu kamwingiza mwenzake chakaaaaaaaaaa ... kampiga saundi eti aweke picha lake hahahha
  mwane wane jamaa s akaweka kweliiiiiiii hahahahahahahah, mambo ya kuvamia mitandao haya ..
  seneta kaibuka huko kampa dongo hhahahha

  mwaana kapiga piga na minguo ya mbele anajua ndio mashori watamkubaliii hahaha
  mara kaambiwa aongeze umri kwa sababu ile picha yake na umri alioutaja haviendani jamani
  hahh
  akidouble ina maana mwana ana kitu 36?? lakini kweli hii ndio inaendana na picha yake
  tchao
   
 12. G_crisis

  G_crisis JF-Expert Member

  #12
  Jul 24, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 715
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Kama kweli upo 23yrs hutakiwi kuwa na haraka hivyo endelea kujipanga na pray for ur God akupe mke mwema mambo mazuri yataka subira na utulivu!!
   
 13. Kwamex

  Kwamex JF-Expert Member

  #13
  Jul 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda hii.
   
 14. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #14
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,015
  Likes Received: 2,668
  Trophy Points: 280
  Tehe tehe tehe amedanganywa kwamba JF kuna madem wa bwelelee akaingia mzima mzima tehe tehe tehe.
   
 15. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Duh! Wale wakareeee sssaaasssaaaaa!! Inabidi wachangamke kabla jamaa hajawahiwa(kwa wanaotaka lakini)!!
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwanza umesema watu ambao wako serious hawatafuti wenza mtandaoni ila na wewe umeunga tela na kutafuta...mpaka hapo nasena wewe sio MAKINI.

  Then ukasema VINAVYOPENDWA sana ndivyo vichukiwavyo zaidi...kwahiyo wewe unapendwa sana?!Sasa mbona huko kupendwa kote bado hujapata kitu?!

  Tatu mtu kakuingiza chaka uweke picha yako JF na wewe ukaweka utadhani aliyekwambia amewahi kuweka yake au anatarajia...mpaka hapo nasema wewe SIO MJANJA.

  Sasa mbona wewe sio MKAREE?!Iweje utake wakare?!Na mtoto wa miaka 17 unataka kumpeleka wapi?!
   
 17. B.O.G

  B.O.G Senior Member

  #17
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  usijari cheti cha kuzaliwa ninacho , hiyo ni picha 2 mkuu.
   
 18. B.O.G

  B.O.G Senior Member

  #18
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  napenda sana old skool
   
 19. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #19
  Jul 24, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,901
  Trophy Points: 280
  weraa mwana una bahati kweli .. vibinti vishaanza kuku like kaka
   
 20. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #20
  Jul 24, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  JF bwana. Ni kipi kimewafanya muamini kuwa hiyo ni picha yake??? Anyway hata kama ni yake ni ngumu kwa TZ kusema umri wa mtu kwa kuangalia sura. Kwa hiyo si haki kusema kuwa hasemi ukweli. Nakutakia kila la heri ila nadhani members wengi humu wako above your age hivyo yaweza kuwa shida kidogo kupata wa umri wako.
   
Loading...