Huyu Kipanya Mungu anamuona!Huyo ni mama
Lakini kumbe ni Nyoka [emoji23]
Mama anaupiga mwingi lakini kumbe ndani ya shuka kuna nyoka ameingia
Mama kalala/kajifunika shuka la kijani(CCM) humo humo kuna lichatu limelala
Mama kalala/kajifunika shuka la kijani(CCM) humo humo kuna lichatu limelala
Hii ndio tafsiri sahihiMama kajitahidi kuficha kuwa yeye si nyoka bali ni binadamu, ila akasahau kuficha mkia ulionyesha uhalisia wake kuwa yeye ni nyoka(mkia umemuumbua)
Na mkia wenyewe ni unyanyasaji wa wapinzani.
Kumbe alishawaonya enhee sawa ila sasa wamejua sura yake halisiHiyo katuni ni ya tarehe 13/4 kipindi hicho kina Malisa na chadema wanamdemkia mama hatari!
Sijui kipanya ali maanisha nini wakati ule.
Hapo umelenga 100 %. You can't get a better explanation.....!!Mama kajitahidi kuficha kuwa yeye si nyoka bali ni binadamu, ila akasahau kuficha mkia ulionyesha uhalisia wake kuwa yeye ni nyoka(mkia umemuumbua).
Na mkia wenyewe ni unyanyasaji wa wapinzani.