Yani hapo anaonyesha huyu Mtawala Mama ni mbaya kama mithili ya hilo joka.
Mama ndio joka lenyewe.Mama kalala/kajifunika shuka la kijani(CCM) humo humo kuna lichatu limelala
Mama kajitahidi kuficha kuwa yeye si nyoka bali ni binadamu, ila akasahau kuficha mkia ulionyesha uhalisia wake kuwa yeye ni nyoka(mkia umemuumbua).
Na mkia wenyewe ni unyanyasaji wa wapinzani.
[/QUOTE
Na wale aliowalalia ni CDM sio kwa mto ule