Nani mmiliki wa SAUT?acha masihara ww kilaza ana slaa udaktari wa falsafa ktk canon laws ambapo hata mkuu wa chuo cha SAUT rev.dr kitima anayo.
Na kuonyesha udaktari wake ni applicable kitima ana dhahiri wnafunzi wa laws kwa level zote bachelors na masters. Sasa unapomfananisha na sheikh ponda unakosa hekima mkuu huyo ponda umeambiwa na mufti hata kusoma hajui..
Ni sadaka peke yake unayoweza kutumia halafu unamuomba mungu akusamehe.Hizo pesa lazima arudishe.
Nimeona katika habari kwamba katibu mkuu wa CHADEMA daktari Slaa amejitetea kwamba hakuchukua mkopo wa milion 140 badala yake alikopa milion 20.
Lakin niseme kweli sijamwamini kwa kuwa ametumia muda mrefu sana kujibu tuhuma hii tofauti na kawaida yake ya kutoa matamko ya mambo kwa haraka na mara nyingine kukurupuka.
Nimeambiwa kwamba mpango ulikuwa akatae hakukopa ila bdae wakastuka kuna watu wanajua kwa uhakika alikopa wakaona wapunguze kiasi japo bado mkopo wake haukufuata taratibu na uwezo wa chama hauruhusu kujikopesha hata milion5.
Napata wasiwasi na credibility yake kwakweli na katika hili amekwama na kwakuwa amewahi kuwa mtumishi wa Mungu na aoneshe mfano kwa kujitokeza mbele ya umma na kukiri udhaifu ktk hilo.
Naona unajitetea kwa father getho wa Chadema JF,Molemo mfukuzeni huyu anapingana na kanuni za chama chenu kuwaabudu viongozi.kaka sipo kipropaganda.. Nlichouliza nimemaanisha; mimi ni mwanachadema hai sielewi kwanini umenishusha namna hiyo
Hata akitumia na wewe sio mbaya.Unataka akurudishie ww?
Acha unafiki wewe toka lin umekuwa mwanachadema?
Chadema ipi unayoizungumzia kaskazini au wakuja?tangu mwaka 2005 nikiwa form three
kaka sipo kipropaganda.. Nlichouliza nimemaanisha; mimi ni mwanachadema hai sielewi kwanini umenishusha namna hiyo
Nakubaliana na wewe 100% mkuu! Tatizo wanachama/wapenzi wengi wa chadema wanawaona viongozi wao (hasa Dr. Slaa) kama mungu mtu.
Yaani ukiwakosoa kwa hoja unaonekana wewe ndio tatizo. Utatukanwa hapa mitusi ya kila aina.
Kiukweli chama ambacho hakiwezi kuwakosoa ama kuwarekebisha viongozi wake hakifai kabisa kupata ridhaa ya kuongoza nchi.
Chadema kina fursa ya kuchukua nafasi hii ya kuwa chama kikuu cha upinzani kuweza kuweka mifumo thabiti ya kiuongozi na kinidhamu. Mfumo ambao kiongozi/mwanachama yeyote, bila kujalisha cheo atatakiwa kufuata.
Chama kiruhusu uwazi katika ku manage grievances za wanachama, hoja na dukuduku zijadiliwe na ziamuliwe kwa kufuata misingi chama ilichojiwekea. Chama kiruhusu hii misingi iwe tested.....viongozi wa juu waache uoga na ubabe usio na tija kwa chama.
Chadema ikishindwa kuchukua hatua sahihi sasa, haitokuwa tofauti na CCM. Ndo maana sishangai Dr. Slaa leo hii anapoanza kujitetea kuwa kukopeshana hata CCM wanafanya. This is poor justification from him.
Chadema inatakiwa kujibu hoja, na sio kukimbilia kufukuzana.
Haiwezekani baadhi ya mikoa ikawa haipati pesa ya kuendeshea shughuli za chama, huku makao makuu wakitumia pesa za ruzuku kukopeshana.
Moja kati ya majukumu ya chama cha siasa ni kuhakikisha kuwa kinajijenga, kama taasisi, chama hakiwezi kuanza kukopesha wafanyakazi wake huku bado hakiwezi kuendesha shughuli zake za msingi.
Viongozi wa mikoa na wilaya kadhaa wa Chadema wamekuwa wakilalamika kuwa wanaendesha chama kwa hela za mifukoni mwao na hawapati chochote toka makao makuu kwa ajiri ya shughuli za chama za kila siku.
Hapa chama kimepotoka, wanachama wa Chadema msipepese macho pembeni. Mwambieni ukweli Katibu Mkuu wenu, kama kweli mnampenda na mnakipenda chama chenu.
Ahaaaa! hili nalo neno!!suala hapa kachukua au kajikopesha kinyemela pesa za walipakodi milioni 140.kwa matumizi binafsi halafu anageuka na kusema,'nimechukua million 20 tu.
Ficha upumbavu wako wewe mwanamke, CDM inachangiwa na sisi wana M4C hela nyingi kuliko ya ruzuku. Sisi tunaochangia tumetulia tuli katibu mkuu afanye kazi, halafu nyie zumbukuku ambao kila siku mnaiombea njaa CDM isambaratike ili muepuke jela, ndo mnajifanya mna uchungu na hela za CDM.
Leo wanachota hela za Ruzuku, hela ambayo kazi yake ni kukijenga chama na sio kujenga viongozi.
Niliishasema sana hapa toka mwanzo chadema ni kikundi cha wapiga deals
CHAma cha DEals na MAgumashi = CHADEMA au kwa tafsiri nyingine ni CHAGA DEAL MAKERS
Hapo watu wanapiga deals tu kwa kutumia matatizo ya wananchi kama cover. si muda mrefu wataanza kuumbuka
Udokta wa JK ni wa heshima ni kawaida kwa vyuo vikuu duniani kuutoa kutokana na mchango fulani kwenye jamii.Udokta wa katibu wako hata TCU hawautambui ni wa elimu ya dini tu tena dhehebu la katoliki tu.
Kachukue posho yako umeshamaliza.Dr Slaa hata akichukua mil 500 kwa kazi anayofanya kupambana na nyie anastahili kabisa.Tena sio kumkopesha Hapana achukue kabisa......!